Muongozo wa kufungua blog

Muongozo wa kufungua blog

Wakuu freelancel wakala na Alfa Mwijumbe msaada wenu zaidi tafadhari
 
nimeshaquote pcha yako
Sasa mkuu naomba unisaidie vipengele hivi

1:kuingia kwenye blog yang bila kupitia hiyo link hapo juu naingiaje?

2:Nataka niweze kuifanya wengine waweze kuisoma na kuidownload ,je napo nifanyeje

3:Jinsi ya kuandika habari na kuona Comments za watu wengine

4:Kuna gharama yoyote ya kuendesha blog??
 
1;ukienda kwenye setting kuna sehemu ya blog address andika;mfano hance.blogspot.com
2:ili watu kuisoma itakubidi uweke kitu kinaitwa "google searching console' kama sijakosea,hii itakusaidia kwani mtu akisearch kitu google kama ulikiandika google itaonesha blog yako...hii inahitaji utaaramu wa IT ambao mimi sina.
3:ili kuandikahabari kwenye menu ya blogu kuna sehemu ya new post hapo ndo utaandika habari yako.
4;Hakuna gharama
NB;mimi si mtaaramu wa IT ili kimsaada changu kimekusaidia sana!!
 
umemaliza??
Mkuu shida inakuja pale pale kwenye kuiona blog yangu maana huwa naingia kwenye link mliyoiweka hapo juu, tofauti na kuingia kwenye link hiyo je naweza nikaingilia wapi? Na mimi nanufaika vipi na kumiliki blog?
 
hapo imekamilika ila unahitaji ubunifu wa rangi pamoja na theme,mtindo wa maandishi pamoja na account ya adsence(matangazo),nenda kwenye "menu" pale ulipo kuwa mwanzo ndo utakuta masetting kibao
Hii account ya matangazo inakuaje kuaje?
 
Back
Top Bottom