Mziwanda Wa Mziwanda
Member
- Jun 28, 2018
- 11
- 11
Awe mvumilivu tu. Anayekula chakula kilichoiva alikubali kuvumilia. Hao Mawakala wa Mix by Yas, M Pesa nk wana leseni za BOT kwanini Yeye afanye shortcuts?Unaweza kujilipua, ila ukitapeliwa hutokuwa na nguvu ya kuwashtaki.
Huu mchakato ulishawahi kuletwa humu 2011, Watu wakapita na fuko lote la hela 🤣
- Njia nyingine, unaweza kuanzisha mahusiano na mtumishi (mwalimu, nesi n.k) akukopee maisha yaendelee.
- Au unaweza kumtafuta mshirika, ukampa wazo lako na akiliona lina faida , muunganishe mitaji.
- Au tushawishi sisi wanabodi 1000 tununue hisa ya 20,000/= kazi ianze
Huwezi kuendesha biashara bila liseni kwasababu hata wewe utataka uanao wakopesha wawe na liseniHabari Zenu wakuu!!!!
Nataka anzisha biashara ya MICROFINANCE lakini Nimefanya utafiti nimeona lazima niwe na mtaji wa 20M ndo nipate kibali BOT , Sasa apa nikipiga hesabu kufikisha 20M ,Ni mpaka mwakani 2026, kwa savings zangu nazofanya kwa Sasa!
Swali Je, hii biashara huwezi kuiendesha bila leseni ??
Naheshimu mawazo yako!, karibu
Zingatia hapa Mziwanda Wa MziwandaHuwezi kuendesha biashara bila liseni kwasababu hata wewe utataka wanao kopesha wawe na liseni
Wanasema wasomi tunashindwa kumiliki makampuni makubwa, kwa sababu hatuko tayari kwa 'risk'Awe mvumilivu tu. Anayekula chakula kilichoiva alikubali kuvumilia. Hao Mawakala wa Mix by Yas, M Pesa nk wana leseni za BOT kwanini Yeye afanye shortcuts?
Makosa yaliyopelekea kupigwa salio kipindi hicho, iwe funzo katika kurekebisha dili lijalo; baada ya kupata uzoefu, ili watu wasipigwe tena ni nini kifanyike?Huu mchakato ulishawahi kuletwa humu 2011, Watu wakapita na fuko lote la hela 🤣
Nilipigwa 250,000 na aliyekuwa anajifanya kama ES wa huo mchakato
Njaa yake ipo leo huku hana chakula, afanyeje leo aweze kula?Fuata tu utaratibu mkuu
Atafute namna nyingine tu, biashara kama hiyo haihitaji uswahili kabisaNjaa yake ipo leo huku hana chakula, afanyeje leo aweze kula?
Mkuu tulipigwa wengi mpaka Melo mwenyewe 🤣Makosa yaliyopelekea kupigwa salio kipindi hicho, iwe funzo katika kurekebisha dili lijalo; baada ya kupata uzoefu, ili watu wasipigwe tena ni nini kifanyike?
ha ha ha, ila kuna kitu mtakuwa mmejifunza.Mkuu tulipigwa wengi mpaka Melo mwenyewe 🤣
Mipango ilikuwa kabambe Mkuu sema vidole hivi navyo vina shida sana 🤣ha ha ha, ila kuna kitu mtakuwa mmejifunza.
Sisi waafrika kwenye biashara ya ubia hatuko vizuri, mwanzo mtaanza vizuri ila mapato yakianza kuonekana, maigizo yanaanza kuwa mengi.Mipango ilikuwa kabambe Mkuu sema vidole hivi navyo vina shida sana 🤣