meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,828
Meningitis is defined as an inflammation of the meninges (protective membrane covering the brain and the spinal cord).
The most common symptoms of meningitis are headache and neck stiffness associated with fever, confusion or altered consciousness, vomiting, and an inability to tolerate light or loud noises.
Basing on your ID name, you're pretty right with your comment!!!
Mimi mengimhuwa hata simfikiri mzee mchafu kama nini kazi yake kuoa watoto wadogo tu.
Hili ndilo jambo tunalosahau kwa urahisi!
Chukua LIKE MKUU!
wewe bwana chesco endelea kufanya biashara ya maparachichi lakini kamwe usijidai una uwezo wa uwekezaji...labda baadae sana tena sio kwenye field ya mafuta.
Mengi hana hela ya kuwekeza zaidi ya udalali alete wazungu na yeye apate cha juu....watz hawana uzoefu, ujuzi wala rasilimali za kuwekeza kwenye natural gas sasa mlitaka Muhongo aseme uongo mfurahi au?...hatutaki jwatu wachache kama hawa akina Mengi waje wanufaike na rasilimali za taifa zima kwa kupewa vitalu halafu wenyewe waviuze kwa wawekezaji waweke pesa mfukoni...
Tafiti tena siyo mjita umekurupuka.
sasa mkuu solution ni nn ????? Tuwape wawekezaji wageni baadaye tuanze kulalamika wanatunyonya solution hpa ni ubia tu mbona saudi uae venezuela wameweza mi naamin wazalendo wakiwezehwa wanaweza
Wasomi ni kati ya magroup ya kijamii ambayo kwa kiasi kikubwa yamekuwa so useless or dormant in Tanzania katika political process, socioeconomic reforms and other human rights and development issues.
Yaani ccm wamefanikiwa kuwafunga wasomi midomo kabisa; vyuo vikuu wanafunzi hakuna lolote la maana wanalozungumzia, waadhiri ndo kabisa wanasubiria huruma za wanasiasa na baadhi ya vilaza wa wizarani japo wapewe vyeo.
Nina uhakika hata CDM wakichukua uongozi wa hii nchi, wew will still have an extra miles to go in order to realize our dreams (economic and technological advancements).
This country just sucks!!!!!!
Watanzania tujifunze! Ma-professor ni ma-academician na siyo wanasiasa. Mtu anaweza kuwa prof na kuwa layman kwenye politics! Hii tabia ya wasomi kutumiwa kusiasa ipunguzwe. Wasomi ni part ya utendaji wa serikali akishindwa kuisaidia nchi katika nafasi yake ya u-professor usitegemee ataweza akipewa nafasi nyingine. The guy is so arrogant mpaka anatia hasira! Na hii arrogance inatokana na yy kutokuiomba nafasi hiyo so hajali uwakilishi wa commoners zaidi ya yule alimzawadia hiyo nafasi.
Huyu profesa vipi? Nadhani siyo busara mtu mzima kuwa mwongo.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Tatizo bw. Mengi hukimbilia media na wananchi anaposhindwa kushawishi juu ya mambo yake ya kibiashara.
I support Muhongo kwamba watanzania hatuna uwezo.....suluhisho sio kuwapa wageni bali ni kama alivyotuasa baba wa Taifa!
Mengi na kundi lake waache ulaghai.
Hao ndio maprofesor wa CCM pamoja na Maghembe, Kapuya na Tibaijuka