Huyu Mengi alishawahi kuibuka na issue ya mafisadi papa!Jiulize iliishaje?
Duniani kote, nchi zilizoendelea zimefikia hivyo baada ya kujenga mazingira na kuimarisha uwezo wa wananchi wa nchi husika (wazawa) kufikia kiwango cha kuwa wawekezaji wakubwa. Na hiyo inatokana na ukweli kwamba, katika nyanja za Uchumi kuna wakati wawekezaji hawana budi kukaaa na Serikali na kujadili kwa maslahi ya Nchi hata kama kitakachokubaliwa kitawaathiri wawekezaji kwa kiasi fulani (Hili liliwahi kutokea hata Korea baada ya financial crisis ya 1997; company reforms). Katika msingi huu, si rahisi kuzikutanisha subsidiry companies zilizoko Marekani, UK, Russia, China; ni wawekezaji wazawa tu ndio utawafanya hivi.
Vilevile, Nchi ikiwa inamilikiwa na wawekezaji wa nje pekee na wakubwa, Serikali itafikia wakati itashindwa kutekeleza sera au sheria kwa kuwa itaonekana kama inabagua wawekezaji au itakuwa ikishtakiwa mara kwa mara kwani hawa watu wana mitandao mikubwa na ni wataalamu waliobobea katika nyanja zote kutokana na uwezo mzuri walionao wa kuwalipa wataalamu wao worldwide. Lakini vilevile, Makampuni makubwa yakishika uchumi wenu, ni lazima ya-push kutungwa kwa sheria rahisi ya ku-transfer money ambayo itakuwa mwiba kwa Serikali. Kadhalika, makampuni ya nje yapo kwa ajili ya faida, yanapopewa kushika rasilimali ambazo sio renewable, pindipo zikikauka na wenywe huwa wanafanya "suddenly closure" itakayosababisha economic crisis kubwa sana kushindwa kuitetea.
Kutotoa kipaumbele ikiwa pamoja na kuwapa uwezo, kuwathamini na kuwasaidia ikiwa pamoja na kuwadhamini kupata mikopo mikubwa kwa ajili ya kushiriki uwekezaji wa ndani ya nchi yao, ni kosa ambalo litaifanya Tanzania iwe kama ilivyokuwa Afrika Kusini chini ya Makaburu. Na niwaambie ni hatari kubwa kwa usalama wa nchi. Kwa yeyote anayejua Economic History ataelewa hili, ni kwa kiasi gani UK, US, Canada, Australia, Japan, Korea zemejengeka kwa kuwajenga kiuwezo wawekezaji wao wa ndani. Mlio karibu na Rais hebu, mwambieni hili haraka, kitaalam ni hatari. Profesa Muongo huenda hajui kitu cha namna hii na nashangaa nani anaratibu economia ya uwekezaji katika Rasilimali?
Ni rahisi kuona faida za uwekezaji watu wako, hebu angalia Bakhresa na Mengi namna wanavyosaidia katika ajira na stability ya nchi. Pamoja na mishahara na huduma zao kuwa ni za kada za kati, huwezi kufananisha na Makampuni ya Kigeni ambayo kwao ajira zao ni kidogo, tena zina zaidi ya 3/4 wageni toka nje. Akili gani hii nchi yangu inafanya?????????????. Hatari sana watu wenye mawazo ya Ki-Muhongo-muhongo kwamba "Blacks" hawawezi kufanya mambo ya maana. So sad!
Juhudi za kuongeza Taasisi za elimu ya juu zinazotoa masomo ya biashara kama sasa, hazitakuwa na maana yoyote kama hazitaendana na kujenga uwezo na kuwapa uwezo Kampuni za ndani kuendesha biashara, kuwekeza na hivyo kuajiri wataalamu kutoka vyuo hivyo badala ya kuwaachia wageni ambao watakuja kuleta wataalamu kutoka nchi mwao ambako nako kuna tatizo la ajira. Haya maneno, yatakuja kukumbukwa japo miaka 20 ijayo kwa yatayomkuta Rais wa kipindi hicho wa Tanzania. The Big-Show, Nguruvi3

Muhongo ataleta machafuko humu nchini na kauli zake chafu za uropokaji. Anadai hawezi kuongea na watanzania kwenye mambo ya uwekezaji kwenye gesi kwa sababu watakuwa wanapoteza muda wake.....!
---------------------------------
----------------------------------
Tatizo bw. Mengi hukimbilia media na wananchi anaposhindwa kushawishi juu ya mambo yake ya kibiashara.
I support Muhongo kwamba watanzania hatuna uwezo.....suluhisho sio kuwapa wageni bali ni kama alivyotuasa baba wa Taifa!
Mengi na kundi lake waache ulaghai.
Tanzania shamba la bibiKumbe Tanzania tumejaa vitalu! Kuna vitalu vya viwanja (majengo), vitalu vya kuvuna wanyama hai au kuwapiga huku ukishangilia na sasa vitalu vya kuvuna gesi! Bado vitalu vya makaa ya mawe, vitalu vya urani, vitalu vya chuma, nk. na bado kuna vingine vinakuja. Kwa bahati mbaya vitalu vingi humilikishwa kwa wageni. Kwa mwendo huu wa vitalu na maliasili tuliyonayo muda si muda Tanzania yote itakuwa vitalu na hivyo itamilikishwa!
Ndio maprofesa wetu wa tz wapo km wagonjwa wa akili baadhi yao
Eyes can not see if the mind does not know!krap kabisa hii
You cant let outsiders run these shows, it is the responsibility of the government to build local ownership na sio kusema sisi hatuwezi.... if that is the case what is the use of his education??
Imbechili at work
Mkuu usipende kuamini ngonjera za kina Mengi!Meningitis huwa naheshimu sana comments zako lkn kwa hapa tupingane bila kupigana. Aliyekudanganya watz hatuna uwezo ni nani?
Mimi ninao. Ninawafahamu wengi tu walio na uwezo. Tatizo ni kukariri kama baba wa taifa alivyokwisha sema, viongozi wengi (kama siyo wote) tulionao leo wanaamini mawazo yao ndiyo mawazo ya watanzania na mitizamo yao(hofu zao) ndiyo mitizamo ya watz.
Hii siyo kweli...its kind of a brainwash technique our leaders are happily nurturing oblivious of the deadly consequences.
HAKUNA TAIFA LOLOTE DUNIANI LILILOJENGWA NA WAWEKEZAJI WA NJE HUKU WA NDANI WAKIWA WATAZAMAJI. HAKUNA. PERIOD
Tatizo la viongozi wetu tuliowaweka madarakani wanatuona watanzania ni walewale wa miaka ya 47.Sijui tunakoenda Tanzania yetu itakuwaje na haya madawa ya kulevya na ukiangalia viongozi haohao ndiyo wanaotuharibia vijana kwa kuwafanya punda wa kubeba mizigo.Inabidi kujiuliza ni kwa nini viongozi wetu wanakuwa na kiburi cha kuweza kuwadharau hata waliowaweka kwenye hayo madaraka.
Ugomvi wangu na Mengi ni mmoja tu!Wewe ndiye Kilaza kweli sasa ulitaka Mengi awakamate? Yeye alitoa taarifa kwa umma kam ingekuwa siyo kweli si wangemshitaki kwa kuwadhalilisha? Mbona husemi kashifa ya Kamanda Nzow kutaka kumbambikizia madawa ya kulevya mtoto wake mbona serikali na waliotajwa hadharani hawakuchukua hatua yoyote kama walisingiziwa? I think you have personal conflict with mzee Mengi! Siyo bure, utakuwa unakula kwa akina Yusuf Manji!
Ugomvi wangu na Mengi ni mmoja tu!
Ni mzee mnafiki sana ....hasimami na wanaharakati wa kweli,ni mtu wa kuangalia maslahi yake akifanikiwa anawaacha kwenye mataa.Kumbuka Mengi ni mwanaccm na inayofanya hayo mnayoyalalamikia ni ccm.kwa nini asitumie influance yake kushawishi chama chake katika hili na mengine mengi?
By the way nasubiri ile hospitali ya magonjwa ya moyo aliyotuahidi kuijenga.
Mengi ni mfanya biashara na sio mwekezaji ...bado sana kuwa mwekezaji hasa hasa unapoongelea uwekezaji katika mafuta au gesi!
Kumbe kuna tofauti Kati ya kuwekeza na kufanya biashara?? Mwekezaji hafanyi biashara?? Wasomi nyie muna taabu sana mlisoma ili mtumikie wazungu Nadhani...🙄🙄
In business, to make money you need two critical assets: Customers and Employees. While in Investments, to make money you need two different kinds of assets: Money and Experience.
Sasa Kwani bank zimeenda wapi kwasababu unaweza kopa hizo pesa kwa banks ilimradi uwathibitishie kuwa unachofanya kitawarudishia pesaAwww Hapa wote wamekosea kusema kweli tuache utani mh mengi kujifanya kwamba sisi watanzania tuna 100m usd na zaidi kufanyia utafiti tu wa mafuta huu ni utafiti mnaweza fika chini hamna kitu ni kudanganyana sio watanzania wengi wenye huu uwezo lakini pia huyu prof kutoa majibu Kama haya sio vizuri mengi ana tabla ya Kwenda kwenye vyombo vya habari yaaani ni la vile mwalimu mkuu basi akitangaza shule nzima isikilize suluhisho ni hawa watu kukaa pamoja naamini bongo kuna watu wana bilioni 2/3 pengine hadi bil 10 wakikusanywa hawa wakaundiwa kampuni au serikali ikawaalika wananchi kununua hisa ili kupata mtaji am pretty sure hizo hela zitapatikana lakini sio kubishana ili kila mmoja ajione ye zaidi yaaani hawa watu hawana washauri ? Pumbaf Kabisa