....muongo na mmbea....

Kipaji Halisi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2012
Posts
2,280
Reaction score
1,366
..ni nani kati ya watu hawa huwa anaongea mambo yasiyomuhusu..?
..na ninani huwa anabadili mambo ya ukweli kuwa uongo na uongo kuwa ukweli..?
 
Haiwezekani ukawa mmbea then usiwe muongo!
Kama ambavyo huwezi tenganisha utawala na uongozi.
 
BY DEFINITION!
1.MMBEA NI MTU ANAYESEMA UKWELI WA JAMBO ALILOSHUHUDIA AU KUSIKIA LAKINI HAJARUHUSIWA KULISEMA AU KUZUNGUMZIA .
2.MUONGO NI MTU ANAYETUNGA AU KUSEMA JAMBO KWAKULIONGEZEA AU KUTUNGA JAMBO JIPYA KABISA KWA MADHUMUNI YAKE BINAFSI AU KWA FAIDA FULANI KWAKE YEYE.

:focus:MMBEA NIHERI JAPO HUWA ANAONGELEA MAMBO YASIYOMHUSU AU KURUHUSIWA KUSEMA KULIKO MWONGO/MNAFIKI/MFITINI!
 
MMBEA NIHERI JAPO HUWA ANAONGELEA MAMBO YASIYOMHUSU AU KURUHUSIWA KUSEMA KULIKO MWONGO/MNAFIKI/MFITINI!​
hahahahahahahaha..kheri mmbea kuliko muongo...lol..
mie naona wote hatari
 
muongo... mmbea! naenda tafuta kamusi!
 
Pamoja na definition yako, hivi yawezekana "Mlafi" asiwe "Mroho" ?
 
yani haiwezekani kutenganisha kati ya muongo, mmbea, mzushi, mnafiki, msambaratishaji, wao wote ni wamoja na wanakwenda sambamba kabisa
 
..ni nani kati ya watu hawa huwa anaongea mambo yasiyomuhusu..?
..na ninani huwa anabadili mambo ya ukweli kuwa uongo na uongo kuwa ukweli..?

wote waongo na wote ni wambea!!!!

Muongo mbea na mbea muongo...... Ngoma drooo!!!!
 
Hahahahaaa wote hawafai aisee maana mbea anaweza kukuharibia dili lako na muongo anaweza kukuletea balaa
Hawakawii kuja kusema nilikuwa na Mamndenyi gesti hausi then Mr Rocky akaniletea noma bure....yan huyo ni Muongo na mbea at the same time
 
Last edited by a moderator:

Halafu nakutafuta wewe hivi fine yako ya ndyofu utakuja kulipa lini unajua inaekspaya Erickb52
halafu kumtaja taja Mamndenyi wangu uache maana hakuhusu
 
Last edited by a moderator:
Yote yanaafadhal ila kulingana na sehemu yanapotumika.Mfano umefiwa unaitajika kurud kwenu ukadanganywa kuwa mfano mamaako anaumwa huo ni unongo but ni mzuri..Kuna kazi zitatoka ofisin kwenu unawaambia ndugu zako waombe huo pia ni umbeya japo ni mzuri.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
tafuta kifutio cha kalamu ufute hilo jina langu

Hahahahaaa wote hawafai aisee maana mbea anaweza kukuharibia dili lako na muongo anaweza kukuletea balaa
Hawakawii kuja kusema nilikuwa na Mamndenyi gesti hausi then Mr Rocky akaniletea noma bure....yan huyo ni Muongo na mbea at the same time
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…