Muoneni mchunga ng'ombe wetu.

Muoneni mchunga ng'ombe wetu.

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Posts
10,955
Reaction score
4,662
1528640_761433303885728_1524465553_n.jpg
 
Na sisi tuwe hivi wale wanaotukamata na kutudai rushwa wakutwe tumeshamalizana nao
 
Niliwahi kusafiri kwa gari kutoka Lokichoggio mpakani mwa Kenya na Sudan kwenda Kapoeta (mji ndani ya South Sudan) kwa gari. A few kilometers ndani ya ardhi ya South Sudan nilimuona pembeni ya barabara Baba mmoja akichunga kundi la ng'ombe huku akiwa uchi wa mnyama lakini begani akiwa na AK47. Kwa kweli nilikosa amani njia nzima. Niliambiwa watu wa eneo lile (Wapokoti), wanaume kukaa uchi wa mnyama ni kitu cha kawaida sana huku wanawake wakiacha matiti nje.

Hivyo msimshangae huyo.

Tiba
 
Yes, u r Real Tanzanian !!
 
Sooon itakuwa hapa Bongo hii kitu. si tunasikia ya morogoro na manyara ya wakulima na wafugaji.
 
ni mfano mzuri kwa wafugaji wa bongo hasa kipindi hiki cha maoperesheni uchwara na migogoro ya kupandikizwa against wakulima!
 
Niliwahi kusafiri kwa gari kutoka Lokichoggio mpakani mwa Kenya na Sudan kwenda Kapoeta (mji ndani ya South Sudan) kwa gari. A few kilometers ndani ya ardhi ya South Sudan nilimuona pembeni ya barabara Baba mmoja akichunga kundi la ng'ombe huku akiwa uchi wa mnyama lakini begani akiwa na AK47. Kwa kweli nilikosa amani njia nzima. Niliambiwa watu wa eneo lile (Wapokoti), wanaume kukaa uchi wa mnyama ni kitu cha kawaida sana huku wanawake wakiacha matiti nje.

Hivyo msimshangae huyo.

Tiba

unaogopa sana bunduki? Mimi naogopa panga,kisu,shoka na mshare,lakini bunduki siogopi!
 
Niliwahi kusafiri kwa gari kutoka Lokichoggio mpakani mwa Kenya na Sudan kwenda Kapoeta (mji ndani ya South Sudan) kwa gari. A few kilometers ndani ya ardhi ya South Sudan nilimuona pembeni ya barabara Baba mmoja akichunga kundi la ng'ombe huku akiwa uchi wa mnyama lakini begani akiwa na AK47. Kwa kweli nilikosa amani njia nzima. Niliambiwa watu wa eneo lile (Wapokoti), wanaume kukaa uchi wa mnyama ni kitu cha kawaida sana huku wanawake wakiacha matiti nje.

Hivyo msimshangae huyo.

Tiba
Tiba ulikosa amani kwa kuuona ule uchi wake au ni ile AK 47? Sijakuelewa bidada nisamehe tu
 
Mimi ni mtu mzima uchi wake haukunitisha, kilichonitisha na kunikosesha amani ni kama kweli mtu ambaye hajui thamani ya kuvaa nguo anaijua thamani ya AK47. Kwa utamaduni wetu, mtu anayetembea uchi yumkini ni mwehu, leo ukutane na mtu yuko uchi na AK47 mkononi utakuwa na amani hapo? Si utafikiri ni mwehu na wakati wowote anaweza ku-pull trigger?

Tiba,
Siku nyingine ukienda nchi za kigeni uliza tu tamaduni za huko. Mi huwa naona shida hata kutembe ninapokutana na visichana, vigoli kabisa, chuchu saa 6 vya kabila hiyo halafu vimefunika papuchi kwa kagozi mfano wa mkono tu halafu haifungwi. Nilisema, hao wakija hapa bongo, mahakama si zingeacha shughuli nyingine watu wahukumiwe miaka 30 kila siku?
Weye si uliwaona? Je ingekuwa ni hapa bongo.
 
Yaani sikuamini kwamba katika dunia ya leo bado kuna binadamu wanatembea uchi bila kuvaa nguo. Wanawake matiti nje. Nilimuuliza mwenyeji wangu sasa kwenye gatherings inakuwaje endapo mtu akimuangalia msichana halafu machine ikaanza kuhesabu mita huku chini. Aliniambia kwa utamaduni wao hakuna kitu kama hicho kwani ikitokea huyo mtu adhabu atakayopewa hatakaa haisahau. Mtu mzima anakuja kwenye mkutano uchi kabisa na anakaa kwa raha zake.

Kama kwao inawezekana, basi hata hapa kwetu tungekuwa tunaona ni kitu cha kawaida tu, ingekuwa hakuna kufungana miaka 30.

Basi tusiwasumbue hawa mabinti wanaovaa nusu uchi. Nikaenda Zimbabwe wakati uchumi wao ukiwa bado juu. Nilikaribishwa na rafiki yangu. Alipo ni introduce kwa mamake, mbona ikawa majanga? Sijaona Tz mama mtu mzima mbichi hivyo, nikafika kanisani, kama ingekuwa huku kwetu, tungesema wanaabudu mashetani.
Kule bana hakuna anayehangaika na makitu ya watu. Kila kitu kina nafasi yake. They mind their business kwenye mambo yao. Kama kusali ni kusali kama ni outing ni outing. Bongo tutafika tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom