Muonekano wa simu janja mpya ya bei nafuu kutoka Samsung

Zinatengenezwa na nani
Je kwa ubora zinalingana?
Kampuni inaitwa wingtech

Kwa specs wise hizi simu hazina mpinzani, mfano hio A10 jamaa anayotangaza hapo juu inacheza hadi pubg, cpu yake ina core 2 za cortex A7x series ambazo hutumika kwenye simu za bei ghali tu. Kwa hio bei sidhani kama kuna simu mtaani inayoweza compete.

Sema zina ratings score ndogo sana kwenye site kama gsmarena, vitu kama camera, display etc sio standard ya samsung tulioizoea, hivyo tegemea kioo mchele mchele, na simu ambayo sio reliable kivile.

Mwisho wa siku inategemea unataka kununua kwa ajili ya nini.
 
Mimi mara nyingi huwa naagiza online AliExpress.
Kwa hapa TZ original battery niliwai kusikia inauzwa TZS 50000.
mkuu hivi betri ya hii xiaomi note 4
ntaipata wapi mjini hapa na kwa bei gani?
-2106156638-2086255384.jpeg
-21061566381073828527.jpeg
 
Kampuni inaitwa wingtech

Kwa specs wise hizi simu hazina mpinzani, mfano hio A10 jamaa anayotangaza hapo juu inacheza hadi pubg, cpu yake ina core 2 za cortex A7x series ambazo hutumika kwenye simu za bei ghali tu. Kwa hio bei sidhani kama kuna simu mtaani inayoweza compete.

Sema zina ratings score ndogo sana kwenye site kama gsmarena, vitu kama camera, display etc sio standard ya samsung tulioizoea, hivyo tegemea kioo mchele mchele, na simu ambayo sio reliable kivile.

Mwisho wa siku inategemea unataka kununua kwa ajili ya nini.
hivi OG Pixel tatizo lao la mic & dispaly walilishughulikia maana kuna muda nilisikia malalamiko..
halafu hivi zipo za laini mbili?
 
Mkuu unaiongeleaje SAMSUNG A20, kuilinganisha na SAMSUNG J5 PRIME
Nmeona iyoo A20 ina mpk kioo cha super amoled na ram ya 3Gb rom ya 32 lakini bei yake iko chini kulinganisha na J5Prime ambyo haina super amoled na ram ake ni 2gb wakt rom 16gb...

Kingine nataka kujua ipi ni simu nzuri kati ya ile yenye LED flash na ile inayotumia AUTO FOCUS.....Kamera ya mbele (selfie)
 
Zina line 2 lakini moja ni esim, na nyengine ndio laini ya kawaida.

Na hayo matatizo bado yapo kuna patch za hapa na pale zinatolewa ila still watu wanareport yapo.

Na pia kuna pixel mpya siku hizi ambazo ni midrange kwa bei ya kati
 
okay...hivi kuna mtandao bongo wanazo hizo esim?

OG Pixel si nafuu kwa sasa kuliko hizo pixel 3a ama?
 
Sijasikia mkuu kama kuna mtandao umeanza hii huduma na pia hio esim ni hizi pixel mpya za zamani hazina.

Na OG pixel itakuwa nafuu sema specs wise 3a itakuwa nzuri zaidi.
 
Sijasikia mkuu kama kuna mtandao umeanza hii huduma na pia hio esim ni hizi pixel mpya za zamani hazina.

Na OG pixel itakuwa nafuu sema specs wise 3a itakuwa nzuri zaidi.
Mkuu unaiongeleaje SAMSUNG A20, kuilinganisha na SAMSUNG J5 PRIME
Nmeona iyoo A20 ina mpk kioo cha super amoled na ram ya 3Gb rom ya 32 lakini bei yake iko chini kulinganisha na J5Prime ambyo haina super amoled na ram ake ni 2gb wakt rom 16gb...

Kingine nataka kujua ipi ni simu nzuri kati ya ile yenye LED flash na ile inayotumia AUTO FOCUS.....Kamera ya mbele (selfie)

Cc Chief Mkwawa
Cc mr Mobile
 
Mkuu kama nilivyosema hapo juu hizi simu specs zake ni kubwa sana, A20 ina nguvu kama mara 2 ama zaidi compare na j5 prime. Issue inakuja hizi simu hazijatengenezwa na samsung hivyo hazina ile top quality factor,

-tegemea camera ya kawaida.
-battery ukaaji chaji wa kawaida japo ni kubwa
-vitatizo vya hapa na pale
-hata display japo ni amoled ila ukubwa na resolution haviendani kabisa.

Ila kwa bei na specs mi naona sio mbaya, cha muhimu warranty ya samsung ya miaka 2 uhakikishe ipo kwa macho yako na sio kuamini maneno ya muuzaji.

Kuhusu Auto focus na led flash vinakaa na kufanya kazi kwa pamoja, sio kwamba simu ikiwa na led flash inakosa autofocus.

Na mwaka 2019 kama simu haina autofocus kaaa nayo mbali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom