Muonekano wa simu janja mpya ya bei nafuu kutoka Samsung

Mkuu tafuta kitu cha Samsung A50 yenye gb128 na ram 6 inauzwa kati ya 550k hadi 600k iko poa kila idara au tafuta M30s sio m30 tu iwe na s mwishoni nayo pia iko ok sana bei haziachani sana uzur wa hiyo M30s ina betri kubwa zaidi 6000mah na ram 6 na rom 128 now mi nmechukua A30 ina ram 4gb na rom 64gb betri 4000mah network 4g naenjoy sana ukizingatia nmetoka kweny kifungo cha series za tecn na infinix ni raha sana aise.
Hizi samsung m series zinapatokana wapi?
Hata aliexpress sizioni
 
Mkuu tafuta kitu cha Samsung A50 yenye gb128 na ram 6 inauzwa kati ya 550k hadi 600k iko poa kila idara au tafuta M30s sio m30 tu iwe na s mwishoni nayo pia iko ok sana bei haziachani sana uzur wa hiyo M30s ina betri kubwa zaidi 6000mah na ram 6 na rom 128 now mi nmechukua A30 ina ram 4gb na rom 64gb betri 4000mah network 4g naenjoy sana ukizingatia nmetoka kweny kifungo cha series za tecn na infinix ni raha sana aise.
Hiyo A50 kwa Bei hiyo ni wapi maana niliwauliza Samsung Bei FB wakasema 775k
 
Hiyo A50 kwa Bei hiyo ni wapi maana niliwauliza Samsung Bei FB wakasema 775k
Kariakoo mkuu unaponunua kitu ni vizur utembee maduka zaidi ya ma5 ili kupata bei nzur mimi mwenyewe hii yangu a30 kwa hiyo bei kuna watu nikiwaambia nmenunua hawaamini hata wale maduka kariakoo wanashangaa kuipata ila nilichojifunza ni kwamba kuna wauzaji wengine wanatakaga faida kubwa sana na wengine hata faida kidogo wanachukua kwa iyo siri hapa ni kuuliza maduka mengi na unatoa na offer yako vp bei fulani utaniuzia kama anaona kuna chochote anaweza kukuuzia.. Nb uwe makini usije angukia kwa bidhaa za china hizi cm kuna ambazo made in china, nzuri niza india, vetnam au Korea
 
Bei za mitandaoni usipende kuziamni sana mkuu we fika mwenyewe kariakoo nakuhakikishia ukiwa na hiyo hera 600k mfukoni hurudi bila simu ukiuliza hii yangu a30 yenye gb64 watakuambia 500k au zaidi ama 480k ila mi nmechukua kwa 440k na rist nimepewa
Hiyo A50 kwa Bei hiyo ni wapi maana niliwauliza Samsung Bei FB wakasema 775k
 
Kuna huyu jamaa anatangaza hizi bei mitandaoni ona hapa na uchukue namba yake ipo hapa chini mtafute mfanye biashara ila uaichkue za china mkuu.....

*3 mzukaaaaaaaaaaaaa*

A Series zote sealed box zipo

Galaxy A10
32gb
270,000

Galaxy A20
32gb
350,000

Galaxy A30
32gb
450,000

Galaxy A40
32gb
550,000

Galaxy A50
128gb
580,000

Galaxy A70
128gb
780,000

Galaxy A80
128gb
1,200,000

0714230566
Hiyo A50 kwa Bei hiyo ni wapi maana niliwauliza Samsung Bei FB wakasema 775k
 
Bei za mitandaoni usipende kuziamni sana mkuu we fika mwenyewe kariakoo nakuhakikishia ukiwa na hiyo hera 600k mfukoni hurudi bila simu ukiuliza hii yangu a30 yenye gb64 watakuambia 500k au zaidi ama 480k ila mi nmechukua kwa 440k na rist nimepewa
Nimekupata
 
Nimekupata
Poa poa sana
Screenshot_20190927-215833_WhatsApp.jpeg
 
Hazijaachana sana, 650k unapata 6gb & 64gb version.
700k ~ 6gb &128gb
Nani anauza hizo Xiaomi Mi9T?

Naomba kujua maana nazitafuta kwa wauzaji wa Instagram lakini cha ajabu sioni Mwenye Account Instagram anaeuza hizo Xiaomi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom