Muonekano wa sasa wa JF

Yofav

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2021
Posts
4,327
Reaction score
7,943
Nipende kusema tu kwamba huu muonekano wa sasa wa JF nimeupenda sana! 😍πŸ”₯

Kwa kweli, ilikuwa ni ndoto yangu kuona siku moja JF ikiwa na theme kali, ya kisasa, na kuachana na ile theme ya zamani iliyokuwa boring. Leo nimefanya update, na nilichokiona ni πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Pongezi sana kwenu wakuu! Mmefanya kazi nzuri sana. πŸ‘πŸ”₯
 
Upoje huo muonekano
 
Kongole
 
Weka picha tuone mkuu
 
Ombi langu kwa uongozi ni warudishe JF kule tapatalk, hatuwapati tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…