Muonekano wa mwanaume asiye na pesa

Muonekano wa mwanaume asiye na pesa

Yaan sijui kam kun mkoa wanaangLia Hayo madude kama geita...yaan wananiboa hWanaga news tym..yaan wanaangalia had saa7 usk kwa sauti ya 100...jaman nakerekaaa....!
Ahahah haaa hata Morogoro....ila hata kigamboni kuna mtaa wapo wasukuma tupu huwa wanaunganisha radio kubwa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mama leo umekula nini hadi unanipa ofa[emoji134][emoji134][emoji134]

Alafu ujue nakudai ulinikimbizia mchumba!!


aahahahaa@JWKRM...dah jina lake.jaman gumuu..shem njoo bwana utupe ofa
 
Ahahah haaa hata Morogoro....ila hata kigamboni kuna mtaa wapo wasukuma tupu huwa wanaunganisha radio kubwa


hahhahaahha Sukuma pipo..jaman naudhika mm jaman...!mm movie yyt siwez chek..yaan sina hata wazo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alikuwa ananichekesha eti kanenepeana kama mbuyu.
Alafu mbaya zaidi sio gf bali alikuwa mke kabisa.



Hahabhaha mke anauma nadhan hahaha..dah...Ila maisha haya😂😂
 
Habari wakuu, Poleni na Mvua

Leo nimeamua tujadiliane baadhi ya tabia na muonekano wa mwanaume asiye na pesa..

1. Viatu huisha upande mmoja
2. Huitika hata mara 5 akiitwa mara 1
3. Hukimbilia Remote akiwa ugenini
4. Hunywea maji kwenye jagi hata kama kuna glass au kikombe
5. Suruali kunasa kwenye makalio mara kwa mara
6. Tone la mkojo kwenye suruali baada ya kujisaidia
7. Chakula kuruka mdomoni pindi anakula
8. Kufungua soda/bia kwa meno
9. Kuvaa socks hadi magotini hata kama hayupo mazoezini
10. Kuangalia movie zilizotafsiriwa
11. Kufuta jasho kwa vidole
12. Kupiga mihayo hadi machozi
13. Kuingilia ugomvi hata wa watoto wadogo
14. Kushuhudia matendo machafu kama vile Kuku, Mbwa, Bata kufanya mapenzi mbele yake..na hii inatokana na hata wanyama kukudharau sababu huna PESA
Somehow Kuna ukweli maana kama huna kazi ya kufanya yaani hauko buzy hayo utayafanya watu wenye pesa wanakuwaga buzy sanaaa ndo maana hayo hawayafanyi
 
Aisee
Screenshot_20190518-192306.jpeg
 
Back
Top Bottom