ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,802
- 60,648
Thread hii inachekesha sana
Ninaweza kuwa na tabia hizo by 90% na nina hela kuliko BF wako aliyewahi kukuhonga pesa nyingi sana....
Ukiacha issue ya movie za kiswahili na ya remote, hizo tabia zote ni za mtu mwenye hela tena nyingi sana........
Watu wasiokuwa na hela huwa wanajitahidi kujikubalisha, ni watu watanashati sana sana wakijaribu kukubalika....
no 4,7,8,9, 11 na 14 ni issue za tabia hazihusiani na kipato cha Mtu kabisa..... sasa kufungua soda na mdomo kunahusiana nini na umaskini?
Mbona kama umemind bro ipi hapo tabia yako mzee
Ila zaukweli zipo hapo ukichunguzaKawaida tu, umepotosha sana
Ila zaukweli zipo hapo ukichunguza
15. Ana hasira na wanawake hadi wasiomuhusu.
15. Ana hasira na wanawake hadi wasiomuhusu.
Nipe balimi[emoji23][emoji23][emoji23]sijajua nikupe nn...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji309][emoji309][emoji309][emoji309][emoji309][emoji309]...omama tetemaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Agiza balimi 5 za moto[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ole wako ukimbie bili[emoji109]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naanzaje...hahah...ole wako uangize za 3000 au 4000 utalipa mwenyew
🙆🙆🙆🙆🙆 dompo 1 bar 15000...uwiiii...ila kwa hyo comment sawa tu..wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimebadili oda, nimeagiza dompo 4[emoji6][emoji6]
Namba 10 ni kweli...humkuti mtu mwenye hela anaangalia hayo mamuvi..naudhikaga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134] dompo 1 bar 15000...uwiiii...ila kwa hyo comment sawa tu..wapi
Rebeca 83 ..Akazie hilisuala