Muonekano mpya wa yule mfanyakazi aliyemsulubu dogo kule uganda

Safi sana hii ndio sura yake halisi, ina fanana na ukatili wake kwa sura hii hawezi tena kuwatesa na kuwaumiza watoto maana watamuogopa na kuangusha kilio kabla makubaliano ya kupatiwa kazi na wazazi wao hayajatekelezwa..
 
kwa nini lakini,ni lini tutajifunza jinsi ya kusamehe?yote hayo kwa nini?kama yule mtoto yupo hai angeachwa tu
Wewe mwanamke hujazaa ndio maana umesema hivyo.
Take vice versa angekuwa mwanao what will you do?Kusamehe mara sabini kama sisi wakristo ndio nja sahihi lakini geuza shilingi.
 
Huu ndio muonekano mpya wa yule binti aliyemtembezea kisago cha kufa mtu yule dogo wa kule Uganda.
Hii ni mara baada ya kula kichapo cha kufa mtu kutoka kwa baba mzazi wa yule dogo .

Kuna watu hupenda kuandika uongo tu mitandaoni na siijui faida yake, hebu kasome Daily Monitor la uganda la tarehe 24/11/2014 ndio utajua uongo wako
 
Sura si ya yule binti mtesaji bali ni ya msichana aliyefanyiwa unyama na wafuasi Wa Joseph Kony.Acheni kupost vitu vya uzushi.
 
Huu ndio muonekano mpya wa yule binti aliyemtembezea kisago cha kufa mtu yule dogo wa kule Uganda.
Hii ni mara baada ya kula kichapo cha kufa mtu kutoka kwa baba mzazi wa yule dogo .

Mbona huyo ni mwanafunzi mkuu
 
Aliyetoa kichapo kwa yule dogo au kwa yule mtoto? Mi mwenyewe mwenyewe dume zima nilijikuta nikilengwa na machozi... she's a killer.
 
Huu ndio muonekano mpya wa yule binti aliyemtembezea kisago cha kufa mtu yule dogo wa kule Uganda.
Hii ni mara baada ya kula kichapo cha kufa mtu kutoka kwa baba mzazi wa yule dogo .

sizani kama ni kweli kwani nimemsikia kwa masikio yangu waziri nchini uganda akimpongeza baba wa mtoto kwa kutochukua sheria mkononi na kuamua kumpeleka polisi
 
Sijaribu kumtetea housegirl, ila wote watatu, wewe, house girl na baba mzazi hamna akili, kwa hyo we ulichoweza kufanya ni kutukana tu?, angalieni jinsi gani mnaweza kuiondoa hii hali ya ukatili wa wasichana wa kazi kwa watoto?
tufanye nini?, nini kifanyike? they are human being, kuna kitu kinawafanya wawe hivyo, especially in African countries and Asia? why this and how could we overcome? ili tuwe na amani majumbani...

sio unakuja kuonyesha hisia za kipuuzi, utafikiri we ndio mzazi peke yako, you need to think!.....badala ya kupunguza tatizo, unaongeza tatizo.....

Mi nashauri hivi...
Hawa wasichana, kitu cha kwanza inabidi muwafanye part of the family, yule sio mtumwa kufanya kazi zote za familia, msaidiane, mpendeni, kwangu housegirl ni mtu muhimu mno, sababu anaweza kufanya conspiracy na maadui zenu hata kuwawekea sumu kwenye vyakula, hivyo kumfanyia vitu vizuri, kumpa mshahara mzuri na kwa wakati inampa bonding emotion ya kuhisi nae ni part of the family.....

Hasa akina mama I saw them for my own eyes, anamkaripia house girl kama mtumwa wa enzi za utumwa kwa iliyokuwa Tanganyika, we have to change for the sake of our children...

i like this
 
kwa nini lakini,ni lini tutajifunza jinsi ya kusamehe?yote hayo kwa nini?kama yule mtoto yupo hai angeachwa tu

Ni kweli kuna kusamehe lkn katika hali kama ile hata kama mimi ndio mzazi wa yule mtoto sijui ningemfanya kitu gani huyo binti kwa ule wakati, acha kabisa Sis linapokuja suala la mtoto...........kama hujabahatika bado muulize mzazi yyt jinsi naye anavyougua moyo siku mtoto wake akiumwa.........sasa ndio iwe amefanyiwa unyama na mtu ninayemlipa ili aniangalizie mtoto.
 
Mbaya sana. Alikuwa katili sana. Hakutakiwa kumpa kipigo yule mtoto. Kama ni 'kisasa' basi angekifanya kwa wazazi, sio kwa mtoto. Ila nina uhakika, ukweli wa nyuma ya pazia hatuujui. Sababu ya huyo dada kufanya hayo.
 
Back
Top Bottom