Muonekano mpya wa yule mfanyakazi aliyemsulubu dogo kule uganda

MeinKempf

JF-Expert Member
Jun 11, 2013
11,094
7,220
Huu ndio muonekano mpya wa yule binti aliyemtembezea kisago cha kufa mtu yule dogo wa kule Uganda.
Hii ni mara baada ya kula kichapo cha kufa mtu kutoka kwa baba mzazi wa yule dogo .
 
Attachments

  • bek 3 wa uganda.jpg
    bek 3 wa uganda.jpg
    43.2 KB · Views: 12,953
Kusema uongo kwa makusudi ni kosa la jinai. Ona picha hiyo ni ya mwanafunzi(ana sare ya shule), anaonekana alifanyiwa oparesheni utotoni(tazama makovu ni ya muda mrefu). So msitufanye wajinga kama AG, PM, MoEM na wengine wengi tu ktkt ESCROW scandal.
 
kwa nini lakini,ni lini tutajifunza jinsi ya kusamehe?yote hayo kwa nini?kama yule mtoto yupo hai angeachwa tu

Aaaa, kuna yakusamehe sio hilo, embu vaa uhusika wa mzazi wa yule mtoto kwa mda na kisha rudia kutizama île clip
 
wote wana roo mbaya
hakuna mwenye afathali

mdada alie mpiga mtoto na baba alie mpiga mfanya kazi
 
Kusema uongo kwa makusudi ni kosa la jinai. Ona picha hiyo ni ya mwanafunzi(ana sare ya shule), anaonekana alifanyiwa oparesheni utotoni(tazama makovu ni ya muda mrefu). So msitufanye wajinga kama AG, PM, MoEM na wengine wengi tu ktkt ESCROW scandal.

Mleta mada umekosa adabu ESCROW mkubwa lione.
 
Back
Top Bottom