Hii Sonoma kwangu naogopa kui upgrade, Nipo Catalina kwanza ila nafikiria kwenda Big Sur.. Ila hii naiogopa sijui kwann nahisi kama ka macbook kangu kataanza kuzingua, nilisoma mahala wakadai inakula resources kis*nge.
Jana niliupdate kwa WIFI ya bure pale Delta Marrion Hotel lakini mbona haina changes yoyote? Nilitakiwa nifanyaje ili window ibadilike na ionekane kama hiyo yako?