Muonekano mpya wa TBC uko poa

wakurochi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Posts
2,647
Reaction score
2,958
Muonekano wa hii channel ninayoangalia hapa laivu nimeshangaa kuona ina chata ya TBC1 iko vizuri, siku ya kusaini ST. Gorge ilikuwa kichefuchefu sana, naona hata suti ya Sam Mahela inaonekana vizuri kabisa. Ingawa bado mwanzo mzuri.Hongera sana TBC1 Ngoja tuangalie kabumbu itaonekana vipi
 
Hahaha wangewaachia RTD vipindi vyao watutangazie.
 


Sam Mahela anasema "Waziri mkuu atarejea hapa hivi punde" hivi PM alikuwa hapo?
 
Huu uzinduzi wa channel ya utalii TBC umekuja wakati mwafaka sambamba na ongezeko la ndege mpya na kuchochea utalii nchini
 
Ndio channel ya wapi? inaonyesha content gan?
 
Kipindi bora ni ubongo kid tu na mahususi kwa mwanangu mpenda katuni
 
Mkuu sauti inaonekana?
 
Kumbe watu mnaangalia TBC 1
Huwa najua watu wanavyoiponda huku jf hawa angalii.
Kidogo naona mabadiliko ya picha japo contents ni zile zile.
 
Wameweka camera full hd.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…