Used hazijatoka?View attachment 2020620Muonekano mpya wa simu ya Google Pixel 6a umetoka, na inaonekana Google imeamua kuweka design mpya kama Google Pixel 6. Itakuwa ni style moja katika simu zake zote.
Simu hii mpya ya gharama ya wastani (mid-ranger), itakuwa na design mpya, kamera zitakuwa katika style ya mstari mmoja (style ya Visor); na itakuwa na kamera mbili na LED Flash. Pixel 5a ilikuwa na kamera upande wa kushoto.
Upande wa mbele, kamera ya selfie Pixel 6a itakuwa katika style ya hole-puch katikati ya kioo, tofauti na Pixel 5a ambayo ilikuwa na kamera ya selfie upande wa kushoto.
Another sad news kwa watumiaji wa Headphones ambazo sio Wireless: haitakuwa na sehemu ya kuchomeka pin ya Headphones kama ilivyo katika Pixel 5a.
[emoji12][emoji12]used Kali toka dubei zipo mkuuUsed hazijatoka?
Google sasa wanazid kuwa serious, design ya hii pixel 6 nimeielewa sana... competitors wajiangalie mara mbili mbili
Tanzania Maduka Gani Yanauza Hiyo Chombo
Sifa Zake Zaidi Specification
Simu sio core business ya google.Google sasa wanazid kuwa serious, design ya hii pixel 6 nimeielewa sana... competitors wajiangalie mara mbili mbili
Simu sio core business ya google.
Hawatafika levels za kina samsung na apple ila wanajitahidi.
Kwenye UI za Android... themes, widgets n.k sio kitu cha kulalamika maana kuna options za ku Customize vyovyote unavyotaka pia kuna na applications kibao sion kama hiyo ni hoja angalau changamoto ipo kwa iOS kidogo
Simu za Pixels ni kwa ajili ya google enthusiasts.Naheshimu mawazo yako sema The future is uncertain... factors nyingi ni variables kwahiyo mabadiliko yanaweza kutokea mda wowote angalia Huawei sasa hivi
iphone ilizinduliwa 2007 leo inadominate the Market kina Nokia wako wapi so mambo haya yanabadilika
95% ya wanunuzi wa simu duniani wanaangalia bei na sio uzuri wa simu.nop mkuu,unajua kwanini samsung anuza sana simu za android??
jibu ni kwamba ana kupa vingi kwenye simu yake.
huawei baada ya kuona hili akaiga,bahati mbaya yakamkuta mengine.
simu ili ivutie,tunaanza na muonekano(nje na ndani),halafu perfomance.hii simu hata ukiifungua ndan yaani namna inavyoonekana ktk apps inafaa uwe na roho ngumu sana kuielewa.
ukiangalia simu za google pixel hana cha kukupa zaidi ya camera,kila kitu mle ni utumbo wa bata.
apple anachomzidi samsung ni finnishing tu,ila design na UI samsung yuko league ya peke yake ukilinganisha na android wengine.
Dubai what! Kwanini usiendelee kuuza tecno tuu mkuu[emoji1787][emoji1787]Kwa Mbeya unaweza pata Dubai Tecno center na kwingineko
ukiangalia simu za google pixel hana cha kukupa zaidi ya camera,kila kitu mle ni utumbo wa bata.
Una exaggerate sasa