Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,690
- 31,105
- Thread starter
-
- #21
Mbona kawaida, ndevu huwaga na mvi mapema.Bado sijamuelewa, kwanini apake kanta kichwani kuficha mvi huku akiacha ndevu zimezeeka?
Amegeza style ya koffi olomide, inaonekana Jaq anamhusudu koffi olomide so kaona ampe babu muonekano wa MopaoBado sijamuelewa, kwanini apake kanta kichwani kuficha mvi huku akiacha ndevu zimezeeka?
Kweli njaa inaharibu ubongo ndugu yangu umefikia kuwaza kubadilishana uzee na ukijana kisa uzee wenye hela?Hv ukiambiwa uwe kama yeye(mzee mwenye pesa) au ubaki ulivyo(kijana mwenye njaa) nini utachagua?
Nimewaza tu lakn. Maana hzo n ndoto we pambana tu na hali yako
Safi, umemjibu vema.Kuwa Babu kuna shida gani bwana? na wewe kuwa kijana bila pesa kunakusaidia nini?
Naimagine namshika huyu mzee nazungusha mikono yangu nyuma yake thn french kissing him... Uwii
Pesa mwanaharam
Mzee lazima atakuwa nancheza ekibinda nkoi nyumbani.Amegeza style ya koffi olomide, inaonekana Jaq anamhusudu koffi olomide so kaona ampe babu muonekano wa Mopao
Naimagine namshika huyu mzee nazungusha mikono yangu nyuma yake thn french kissing him... Uwii
Pesa mwanaharam
Ni kweli tena lime kwishney kabisaHata afanyeje huyo Ni babu tu.
Anafanana na Techno...
Waweza pata kesi ya manslaughter....!Naimagine namshika huyu mzee nazungusha mikono yangu nyuma yake thn french kissing him... Uwii
Pesa mwanaharam
πππππππππKweli njaa inaharibu ubongo ndugu yangu umefikia kuwaza kubadilishana uzee na ukijana kisa uzee wenye hela?
HaaahaaaaBado sijamuelewa, kwanini apake kanta kichwani kuficha mvi huku akiacha ndevu zimezeeka?
Haahaaa....huwa sichokagi na comments zako[emoji23]Huyu mzee bwana, hope na mashine anairudisha kwenye ujana. Mashine ya mbabu wa miaka 74 itakuwa kama mlenda.