Janja PORI
JF-Expert Member
- Jul 31, 2011
- 825
- 247
mi nlijua hiyo picha ni ya enzi zake za utotoni!!
Young D naona nae anakuja spidi kwenye powder anapotezwa na nyandu tozi...makundi mabaya hayo ya watoto wa kino, madhara wanayajua lakini utasikia na mwingine kaanza kutumia