Muonekano mpya Ben Pol huko Fiesta

Acheni ushamba basi hapo nini cha ajabu labda?
 
Kavaa kutokana na nature ya Audience wake
Hakutaka kuonekana anaringa kwa kuvaa vizuri.amevaa kama wenteji
 
This dude is such a jerk!

Yani lina kipaji na sauti nzuri lakini limekujua kua desperate kutafuta kiki za ajabu ajabu mara lipo na yule demu chizi mara kapakawa mafuta matakoni yanii

Mbona sauti na kipaji anavyo nini shida? Kupewa mali kunyimwa akili ni shida sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…