Muone Pinda kisha ipe maelezo picha.

Muone Pinda kisha ipe maelezo picha.

Indume Yene

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
2,968
Reaction score
727
Angalia hii picha huku ukitizama body language ya Mh. Pinda.
Toa mtazamo wako kuhusu hiyo picha.

_DSC0194.JPG
 
hou ni mdadi akiangalia jamaa wakipeana mikono au unaonaje..
 
Huwa tunaziitaga nidhamu za woga kama si unafki.
 
mhhhhhh.....
my best friend,has a new best friend....
 
Sijui katika wale waliopewa muda wa siku 90 kujiondoa CCM au watashughulikiwa jina langu limo au la.
 
Pinda ameiba peremende anaogopa kuulizwa, anachubiri baba asahau khe khe khe khe kheeeeeeeee
 
Haka ni kautamaduni kakijinga sana huwezi kumsujudia mtu kiasi hiki hapo kwa akili yake analipa fadhila ...wengine
 
Alivyojishika mikono utadhania ni MASANJA MKANDAMIZAJI
 
Sijui na mimi nitakuwa VP lini, u-PM umeshanichosha,ndo maana nalialia tu.
 
".................................Pinda: ooh ooh sasa sijui nimpigie magoti nisujudu au nimlambe viatu au nim busu makalio au.... so confused!"
kwani ukitoa comment bila kutusi hutaeleweka?LABDA NIKUSAIDIE WATU WA RUKWA WANAHESHIMA SANA,hata bibi anapokupa maji anapiga magoti kwa yeyote anayempatia!mi nashauri matusi siyo sehemu yake.
 
Yuko mbele ya bosi zake, lazima awe mpole na utiifu mwingi.
 
Hiyo ni protoko ya kawaida, wanasalimiana kwa kufuata seniority, kiongozi mkuu kati ya wote ni mh. Rais akifuatiwa na makamu wake then waziri mkuu, vivyo hivyo hata ktk salam nialazima wasalimiane wakuu kuanzia juu kushuka chini, si uoga kama wengine walivyo mjaji kwa kebei.
 
Angalia hii picha huku ukitizama body language ya Mh. Pinda.
Toa mtazamo wako kuhusu hiyo picha.

_DSC0194.JPG

Mimi naona wagonjwa watatu tu hapo. Kumbe VP naye ni handsome ilikuwa nja tu inamkondesha masikini.Bata wa Ikulu wameshafanya vitu vyao.
 
"natamani niwe wa kwanza kusalimiana nae ila protocal inabana"
 
Back
Top Bottom