Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,335
Mbona huyo dada anafanana sana na mbunge mmoja wa vitu maalumu? Au ni macho yangu yananizingua?
Unakusudia yule anaeiba Mataulo hotel au yule aloiba cheni majuu ?
hahahahah Mbaya wewe nilikua nakuzunga kumbe unajua kufananishaaa eeh!!lolKama yule wa ndoa ya milioni mia ndotoni kuamka hamna ndoa.