Muogope sana 'ex' wa mpenzi wako

Muogope sana 'ex' wa mpenzi wako

X x x huyu mbona mtata hivi,mbona anachukiwa hivi, wakati nae ana mchango katika kukukomaza kimahusiano yeye ni kama foundation ya mahusiano ulionayo sahivi bado x ni muhimu
mmmmmmmmmmmmm,naende uko ,kama kumkomaza mtu nikumsugua ROHO basi nimemsamehe lakini sitorejea
na nailaumu nafsi yangu kwanini ilimchangua ADUI yule....
 
Mm mpaka sasa ...nina X 67 kati ya hao 14 wameolewa...lakin nikitaka yyte yule napiga simu siku mbil tatu na napasha kama kawa.....mfano week iliyopita nilikuwa mishi kikaz nikampigua simu ex wang no 5...mumewe nikatambulishwa ndugu yake....after kesho yake demu kaja hotel nikapasha na nimerud mwepesi...na mmewe kanitumia nauli
khee na nauli unatumiwa.. ukishikwa utaliwa kote kote aiseee
 
Ex anaeza kupasha kiporo muda wowote na mpnz wako
Ata kama waliachana kwa ugomvi lakn they had good moments pia, so wakimiss watakumbushia tu
Usiogope dogo, kwani ulimkuta bikra? ukishapita waachie na wenzio walioianzisha.
 
Sana tu na napasha kiporo kama kawaida japo kaolewa na ana mtoto sahv

Tulishawahi kumtia mtu kijiti kwenye 0715 yake wakati tupo chuo iringa jamaa mpaka leo anaogopa kuoa
 
Hahaha unanitisha sio
Mi naendelea kula mzigo tu

Sijakutisha Chris

Nimekuambia tu haya mambo huwa ukidakwa na mwenyewe hata uwe na mwili kama Nyumba huwa unanywea unakuwa mdogooo kama fidodido
 
Ex anaeza kupasha kiporo muda wowote na mpnz wako
Ata kama waliachana kwa ugomvi lakn they had good moments pia, so wakimiss watakumbushia tu

!
!
Na kama ilivyo ada, kiporo hakihitaji moto mwingi. Hata ukiwa na gazeti au mshumaa unapasha tu. Wakati mwingine kama ni cha wali unakula tu hivyo hivyo.
 
SIRI: ukijiona unamuonea wivu ex wa mpenzio (au unamuogopa) ni dhahiri hufanyi kazi yako vizuri. #fact
 
Mm mpaka sasa ...nina X 67 kati ya hao 14 wameolewa...lakin nikitaka yyte yule napiga simu siku mbil tatu na napasha kama kawa.....mfano week iliyopita nilikuwa mishi kikaz nikampigua simu ex wang no 5...mumewe nikatambulishwa ndugu yake....after kesho yake demu kaja hotel nikapasha na nimerud mwepesi...na mmewe kanitumia nauli
Duh... Nshalizwa
 
Ukitaka wa kwako peke yako mtengeneze mwenyewe (Umba).
 
sometymz inakulazimu kufind 'x' kwanza ndio usolve equation, maanabhana hamna namna
 
Back
Top Bottom