Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,305
Safari ya kwenda kinyumenyume hufiki, ukiamua safari elekeza mawazo, akili, nafsi na macho uendako, biashara ya kurudi nyuma hufikiHujuagi kuwa mkojo unaweza ukawa kama maji au juice jangwani pale ambapo kiu imekukamata na hakuna chanzo chochote cha maji,,co mbaya mkikumbushia