zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,855
Takwimu zinaonesha kuwa ndoa nyingi ambazo wanandoa walikuwa ni marafiki wa karibu zimeonekana kudumu. Tofauti na ndoa ambazo wanandoa wakikutana hawakuwa marafiki hapo kabla.
Ndoa ambazo wanandoa wake walikuwa marafiki zina asilimia 70 ya kudumu huku zile zisizo za marafiki vipenzi zina asilimia 34 kudumu.
Kwasababu inawezekana kabisa kubadili urafiki kuwa uhusiano. Hata hivyo uhusiano kurudi kwenye urafiki ni kitu kisichowezekana.