Mkuu Malcolm heshima kwako..... Kwa mtazamo wako nini kiini cha mgogoro wa mashariki ya kati na suluhisho ni lipi maana miaka na miaka ni vuta nikuvute tupu!!Huyu jamaa ni mkorofi sana,
Kaenda na mabaki ya ndege ya Irani ambayo haina rubani (Drone) akamuuliza waziri wa Iran kama anaikumbuka na akasema ni lazima aikumbuke kwasababu ni yao. Akatuma ujumbe kwamba waambie madikteta wa Iran wasiwajaribu Waisrael. Lakini naona kwa yanayoendelea sasa hivi nchini Syria, Iran na Israel watakuja kutuletea matatizo makubwa sanaaaaa! Mashariki ya kati imekaa vibaya sanaaa na vita ikianza Iran basi India, Pakistan na Uchina watahusika kwa kiasi kikubwa sanaa.
Chanzo #1 cha migogoro ya Mashariki ya Kati ni DINI ama directly au indirectly hayo mengine yanajazilizia tu. Niorodheshe michache;Mkuu Malcolm heshima kwako..... Kwa mtazamo wako nini kiini cha mgogoro wa mashariki ya kati na suluhisho ni lipi maana miaka na miaka ni vuta nikuvute tupu!!
Chanzo #1 cha migogoro ya Mashariki ya Kati ni DINI ama directly au indirectly hayo mengine yanajazilizia tu. Niorodheshe michache;
(a) Houthi kule Yemen - power struggle between Shia and Sunni - DINI
(b) Qatar Vs Saudi Arabia and others - Qatar anatuhumiwa na wenzie ku-support makundi ya kigaidi - DINI.
(c) Iran support for Hamas Vs Israel - DINI
(d) Palestine Vs Israel - Mji wa Jerusalem - DINI
(e) Iran support for Hizbullah Vs Israel (kuifuta katika uso wa dunia) - DINI
(f) Iran support for Syria - Shia influence - DINI
(g) Muslim Brotherhood Vs Coptic (Egypt) - DINI
(h) Iraq - Shia Vs Sunni - DINI
(i) etc. etc. etc.
Kwa namna moja au nyingine lazima "elements" za dini ziwepo popote penye migogoro middle east unlike other parts of the world.
Of course, in 2017 alitaka ku-take advantage of the Constitution ambayo inasema mgombea urais anaruhusiwa MARA MOJA to run for consecutive terms.With term limits in the first tenure I totally agree!But in the 2017 he applied again, and their Constitution bars a person to apply for presidency in three consecutive terms....But after getting out of office and trying to renew .Again the Iranian law allows for a former president to re-run after four years out of office. And that's the main reason Ayatollah has to intervene, he advised Ahmadinejad not to run...! Now in proper political terms we can call him a Former president eligible for re-election and not a Retired president just because he reached a compulsory end of tenure in 2013.
Of course, in 2017 alitaka ku-take advantage of the Constitution ambayo inasema mgombea urais anaruhusiwa MARA MOJA to run for consecutive terms.
Sasa ukisoma hiyo ibara ni kwamba after the first 4 years in the office, Rais aliye madarakani anaruhusiwa kugombea one more LAST time consecutively lakini katiba haisemi kwamba huyu "president" haruhusiwi tena huko mbeleni!
So, Ahmedejan ambacho alifanya ni kutogombea tena 2013 ili kuua ile "consecutively". It's like Kikwete leo hii! Katiba yetu inasema Rais aliye madarakani can run only one consecutive term. So, JK akitaka kugombea 2020 ckujui tutamkataza kwa kutumia kifungu kipi!
Nisome kwa vituo Mheshimiwa! Nimesema katiba ya Iran inaruhusu serving president to run ONLY one CONSECUTIVE term.Sheria ya Iran inaruhusu kabisa kwamba miaka minne baada ya kipindi cha Uraisi kuisha mtu anaruhusiwa kugombea tena. Ukitaka kulinganisha Baina ya Uraisi wa Jakaya Kikwete na Ahmedinejad utakuwa unakosea sana na kutengeneza kitu kiitwacho FALSE ANALOGY kwasababu TANZANIA na IRAN tuna LEGAL SYSTEMS mbili tofauti, hapa utakuwa unalinganisha The Common Law System Vs Islamic Law System(They are very Incompatible) . Isitoshe mfumo wetu wa Kisiasa na Katiba ya Tanzania ikisaidiwa, Kesi za Kisheria na matukio vimekataza kabisa Raisi mstaafu kutaka kugombea tena Uraisi wa Jamhuri ya Muungano baada ya kustaafu. Sheria ya Iran na Mfumo wao wa Kisiasa haviruhusu kabisa!!!
Ukisoma Mapendekezo ya wakina Judge Nyalali kuhusiana na Siasa za Tanzania hilo linaonekana wazi kabisa.
Ndiyo maana Ayatollah alisema "I didn’t tell him not to participate, I told him I won’t recommend him participating" Hivyo bwan Ahmedinejad hakuzuiwa kwasababu Sheria inamruhusu kufanya hivyo bali kwasababu ya Umoja wa Kitaifa alishauri Ahmed asigombee.
ndo maana nilipenda sana Ahmadinejad agombee tena urais in recent election, lakini aliwekewa figisu na jina likakatwa. Is a man of steel...AhmadinejadAhmadinejad misimamo mikali sana hawa wazee wako wastani.
Hivi huko sisi hatutakiwi au kualikwa?
Walivyopigana The Ottoman Empire na The British Empire kuhusu Mashariki ya kati kwenye vita ya kwanza ya dunia dini ilihusika vipi ?? Nakubaliana na wewe kwamba dini imechochea sana huu mgogoro. Japo swala la msingi kabisa uliloliacha ni kwamba umeaungalia huu mgogoro ambao ni wa kimataifa katika nyanja ya kikanda tu. Nadhani tuhusishe kila chembe kwenye huu mgogoro: Iran, Muslim Brotherhood, Palestine, Israel, Hezbollah, Daesh na Iraq zipo na ndiyo hatari sana lakini pia usisahau kwamba huu mgogoro umekuwepo sana pale hata kabla ya hawa wadau na unavaa sura mpya kila siku.
Zamani Ulikuwa katika sura ya Crusade na Jihad,
Ukabadilika na kuvaa sura mpya ya Siasa za kimataifa kama ambapo mataifa Makubwa kama The Russian Empire, Imperial Germany, The British Empire, The Republic of France na The Ottoman Empire yalihusishwa moja kwa moja kugombania ile ardhi ya Mashariki ya kati. Hapa dini ilihusika kidogo sanaaa, zaidi zaidi maslahi ya mataifa makubwa ndiyo ilikuwa ni chanzo.
Jiulize hivi Uingereza wasingekubaliana kubaliana na Wazayuni hadi kupelekea The Balfour Declaration leo hii huu ugomvi ungekuwa wapi ??
AU Marekani na Warusi wasingekubaliana kuigawanya Palestina mwaka 1947 chini ya Umoja wa Mataifa na Yerusalem ingebaki chini ya Umoja wa Mataifa kama ilivyokubalika leo hii huu mgogoro ungekuwa wapi ??
AU Marekani na Urusi leo waamue kujitoa nje ya Mashariki ya kati na kuweka vikwazo vya Silaha eneo lile huu mgogoro utachukua sura gani ??
F-16 iliangukia Israel na hakuna rubani aliyekufa wala kutekwa.Unaongelea ushahidi gani mkuu au waota?na yeye angeletewa mabaki ya f16 angeyakumbuka?
Kweli mkuu, wamekuwa wapole.Tangu aingie Rouhani waajemi wamekuwa na sauti ya wastani,
Angekuwepo yule Ahmedinejad na waziri wake Manoucher Motaki sidhani kama hapo pangekalika.!
Nisome kwa vituo Mheshimiwa! Nimesema katiba ya Iran inaruhusu serving president to run ONLY one CONSECUTIVE term.
Mwaka ambao alishauriwa lakini akakaidi na kisha kupigwa chini na Baraza la Walezi ilikuwa 2017 na sio 2013. Na kama nilivyosema, alifanya attempt ya "coming back" in 2017 kwa sababu katiba yao inasema rais can serve for only 2 consecutive terms. In 2017, hilo neno consecutive ceased to work for Ahmedijan kwa sababu tayari kulishakuwa na 4 years gap wakati rais ni Rouhan.
In addition, Islamic Law has nothing to do with Iranian Presidency. Islamic Laws play a major role for a Supreme Leader
But let me talk a little bit hiyo unayosema issue ya JK ni tofauti na Ahmedinejad!
Katiba yetu ipo wazi; sasa kwanini umetoa reference ya kesi ya Jaji Nyalali kama sio kwamba katiba haisemi wazi ikiwa rais aliye-serve 2 terms anaruhusiwa tena kugombea akisha-bypass ile 2 consecutive terms?!
Duh!! Nilikuuliza kwanini watu walifungua shauri nawe kuleta kesi ya akina Nyalali? But all in all, hoja hapa ni Iranian presidency!Ahmedinedjad alifanyaje ukaidi wakati alikuwa na haki ya kisheria kugombea ??
Nani kakwambia haya ??
Unajua maana ya Legal System ni nini ??
Unataka kusema kwamba Iran wanatumia Sheria ya Kiislamu kwenye cheo cha Ayatollah tu ??
Unaweza ukatenga sheria nje ya Legal System ??
Halafu unasema Islamic Laws play a major role for a supreme leader, umelitoa wapi hili ??
Hivi lile Baraza la Wataalamu (Council of Experts) lenye nguvu ya kumfukuza Ayatollah linatumia sheria ipi kumfukuza ??
Halafu kuna Baraza la Wasimamizi (The Guardian Council) ambalo ni sawa na Mahakama ya Katiba, ambalo pia linafanya kazi ya kuwasaili maraisi kabla ya kuteuliwa. Baraza hili lina wataalamu wa Sheria za dini na Sheria za kawaida. Wewe utasemaje kwamba Sheria ya dini inafanya kazi kwa Supreme Leader tu ??
NB: Nikuu
Haya mambo umeyaongea baada ya kufanya utafiti au kwa ajili ya kubishana tu ??
Hili swala nimeliongelea kidogo hapa: Malcom Lumumba Live: Tusemezane...
Nimetoa mfano huu kwasababu wewe ulimlinganisha JK na Ahmedinejad ili hali ukijua JK hapa nchini ni RETIRED AND FORMER PRESIDENT wakati AHMEDINEJAD ni FORMER PRESIDENT ELIGIBLE FOR RE-ELECTION. Nikakwambia kulinganisha JK na Ahmed ni kutengeneza FALSE ANALOGY.....! (Hapa gumu kueleweka ni lipi ??)
Kuhusu hili la Jaji Nyalali naomba nikunukuu wewe mwenyewe:
"So, Ahmedejan ambacho alifanya ni kutogombea tena 2013 ili kuua ile "consecutively". It's like Kikwete leo hii! Katiba yetu inasema Rais aliye madarakani can run only one consecutive term. So, JK akitaka kugombea 2020 ckujui tutamkataza kwa kutumia kifungu kipi!" by Myplusbee kwenye bandiko la #66.
Sasa nikujibu kama ifuatavyo,
Nchini Tanzania Raisi akishakaa vipindi viwili haruhusiwi kurudi tena.
Wewe unauliza tutamzuia kwa kifungu kipi kweli, hivi hujasoma mapendekezo ya mabadiliko ya Katiba toke mwaka 1985 hadi 1992 kipindi cha Nyalali Commission hadi uulize hili swali ??
Halafu unaongea hivi Katiba Umeisoma yote hadi kusema hakuna kifungu kinachomzuia Raisi Mstaafu kugombea ??
Haya mimi nakuwekea hapa Katiba na uchukue muda kupitia vifungu vya katiba pamoja na Bango-Kitita (Matrix) yake ambayo imeelezea kwanini Raisi haongezi muda.
Article 40 (2) of the Constitution of the United Republic of Tanzania 1977 states that:
40.-(1) Subject to the other provisions of this Article, any person who holds office as President shall be eligible for re-election to that office. (2) No person shall be elected more than twice to hold the office of President.
NB: Where do you get an audacity to question something you haven't researched ???
wayapate wapi [emoji46] [emoji348] [emoji348]na yeye angeletewa mabaki ya f16 angeyakumbuka?
Vita ya imani ni hatari sanaSiasa za mashariki ya kati ni ngumu sana sanaa.
Ziko kama zile za Ulaya kipindi cha Reformation (Protestants V Catholics)
Wengi tunasema chanzo ni mafuta lakini zimeanza hata kabla ya kristo kuzaliwa.
Na hawamuwezi kabisaTo put it clear; tatizo ni Putin!
Tukija kwenye suala la Islamic Laws ni kwamba Rais wa Iran anachaguliwa according to Katiba na wala sio according to Islamic Laws. Tunaposema Islamic Laws ni laws as per Quran and Hadith lakini kwa urais wa Iran haipo hivyo!
Likewise, nimemtaja Supreme Leader in Islamic Law kwa sababu, SL ndie kiongozi wa kiroho na sio Rais. Na ingawaje pia hata SL anaweza kuondolewa madarakani as per constitution lakini huwezi kumuondoa kirahisi kama anavyoweza kuondolewa Rais ambae sio kiongozi wa kiroho!