Mungu Yupo!!!

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
2.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuombea Waziri
Mkuu Mstaafu Cleopa Msuya mara baada ya kumaliza mazungumzo yao nyumbani kwake
Upanga jijini Dar es Salaam.
 

Attachments

  • upload_2017-2-18_18-0-45.jpeg
    upload_2017-2-18_18-0-45.jpeg
    33.4 KB · Views: 92
nilidhani umeweka picha ya huyo mungu..!!
mda mwengine muwe mnamaanisha sio mnatizinguazingua aaaaaa... inakera
 
Mzee Msuya huyu?
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo
na Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa Msuya nyumbani kwake Upanga jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa Msuya alikuwa amelazwa katika Hospitali ya Taifa ya
Muhimbili ambapo alikuwa akipatiwa matibabu mpaka aliporuhusiwa kurejea
nyumbani kwake mara baada ya kupata nafuu.
 
Rais anaonyesha mfano mzuri wa kuwatembelea viongozi wastaafu na kuwajulia hali wanapougua. Wapinga kila jambo watasema lakini kama binadamu anatimiza pia wajibu wake na kwa unyenyekevu ' nilikuwa mgonjwa ukaja kunitazama'.
 
Back
Top Bottom