Ngoja WajeSalaam wanabodi,
Very simple. Swali linajieleza hapo juu. Je Mungu yuko wapi? Kabla ya Mungu kuumba ulimwengu/dunia na vitu vyoooote vilivyopo, yeye binafsi alikuwa wapi? Alikuwa kwenye nini? Aliketi au kusimama kwenye kitu gani? Je ni yeye aliyeumba sayari nyingine zaidi ya 9 zinazofahamika? Kwanini amemuweka mwanadamu kwenye sayari moja tu ya DUNIA?
Tusaidiane kujua majibu ya haya maswali muhimu kwenye historia ya ulimwengu.
Umeulizwa yukowapi... Au nawewe unasikia tuu kwamba yupo...Mungu yupo Mkuu, unajua hii Dunia ikiitafakali Sana huenda usipate majibu ila Amini hivyo Mungu yupo na kwakulithibitisha hili hebu angalia jinsi tunavyopata usiku namchana.
Naomba ufafanuzi kidogo mkuuMungu ni energy brother
Mmmh! Acha nikae kimya niwaachie wajuzi wa mamboUmeulizwa yukowapi... Au nawewe unasikia tuu kwamba yupo...
Eleza kabla ya kuwepo kwa ulimwengu na vitu vyote
Kabla ya kuwepo na sayari yeye alikua anaishi wapi na nini3 source yake!?
Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
1. Mola muumba yuko juu ya mbingu ya saba juu ya Arshi(hiki ndiyo kiumbe kikubwa zaidi kati ya viumbe alivyo viumba Mola wetu mlezi) yake chini ya Arshi kuna maji na juu ya Arshi kuna kiti cha enzi amestawi huko.Salaam wanabodi,
Very simple. Swali linajieleza hapo juu. Je Mungu yuko wapi? Kabla ya Mungu kuumba ulimwengu/dunia na vitu vyoooote vilivyopo, yeye binafsi alikuwa wapi? Alikuwa kwenye nini? Aliketi au kusimama kwenye kitu gani? Je ni yeye aliyeumba sayari nyingine zaidi ya 9 zinazofahamika? Kwanini amemuweka mwanadamu kwenye sayari moja tu ya DUNIA?
Tusaidiane kujua majibu ya haya maswali muhimu kwenye historia ya ulimwengu.
Ki ukweli kama haujui kabla ya kuzaliwa ulikuwa wapi na kama haujui baada ya kufa utaenda wapi basi yakupasa uamini kuwa Mungu yupo na kama maswali kama haya tu tunashindwa kuyajibu basi hata hayo maswali mengine hatutaweza kuyapatia majibu.Salaam wanabodi,
Very simple. Swali linajieleza hapo juu. Je Mungu yuko wapi? Kabla ya Mungu kuumba ulimwengu/dunia na vitu vyoooote vilivyopo, yeye binafsi alikuwa wapi? Alikuwa kwenye nini? Aliketi au kusimama kwenye kitu gani? Je ni yeye aliyeumba sayari nyingine zaidi ya 9 zinazofahamika? Kwanini amemuweka mwanadamu kwenye sayari moja tu ya DUNIA?
Tusaidiane kujua majibu ya haya maswali muhimu kwenye historia ya ulimwengu.
Salaam wanabodi,

Akili iko wapi? Ukijua ilipo utajua na alipo MunguSalaam wanabodi,
Very simple. Swali linajieleza hapo juu. Je Mungu yuko wapi? Kabla ya Mungu kuumba ulimwengu/dunia na vitu vyoooote vilivyopo, yeye binafsi alikuwa wapi? Alikuwa kwenye nini? Aliketi au kusimama kwenye kitu gani? Je ni yeye aliyeumba sayari nyingine zaidi ya 9 zinazofahamika? Kwanini amemuweka mwanadamu kwenye sayari moja tu ya DUNIA?
Tusaidiane kujua majibu ya haya maswali muhimu kwenye historia ya ulimwengu.
Kisai ameshakujibu maswali yakoSalaam wanabodi,