4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,301
- 12,952
Wakuu kwema rejea habari hapo juu, ndivyo ilivyo kuna code amenipa Mungu siwezi zitoa hapa maana nikizitoa wachungaji na manabii uchwara watazichukua na kunena watakayo.
Nimeoneshwa mtu ajiitae mkubwa yupo katika mauti nikajaribu msadia zikatoka farasi kumi wamebeba watu 10 wakitaka nishambulia, kwanini nataka toa msaada kwa uyu mtu, na kupewa onyo kali ila sauti ya mwisho toka kwa watu walio juu ya farasi wakasema nisirudie tena msaidia mtu uyu
Mungu wangu mwanifu Sana Tunzeni hii,
Naogopa sana acha Mungu awe Mungu hakuna mbadala