Mungu wa uchumi mioyoni mwa wajasiriamali

Ontario alianza na gia ya kukodisha matrekta mpaka kufikia kilimo cha hekari 600! 😅😅😅

Aliwa Insipaya sana vijana wa humu!
 
Habari mkuu barikiwaj sana kwa elimu hii pia natakakaga sana kujua hizi mambo kama hutojari waweza nipa mwongozo wao nianzie Yen niko zero kabsa juu ya elimu hii napatkana tegeta dar
 
Katika yooote nimependa vitu viwil tuu.
1.paragraph ya kwanza (hiyo ni policy yangu in buznes katika policy kadhaa nazozichukuaga kwenye scriptures).

2.paragragh ya mwisho.

Mengine hakuna hata linalonihusu
 
Back
Top Bottom