MUNGU si mmoja, kuna MUNGU wengi. Why?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,049
Reaction score
101,837
Angelikuwa Mungu ni mmoja, huyu asingeli ruhusu ya 29.10.2025 yatokee. Angelimuogopa Mungu aliyemfumbia mikono kwa unyenyekevu mkubwa!
 
Attachments

  • 20260621_215726.jpg
    98.5 KB · Views: 9
swali waulize usalama condom watoto wake watuonueshea dole za dolale
 
Angelikuwa Mungu ni mmoja, huyu asingeli ruhusu ya 29.10.2025 yatokee. Angelimuogopa Mungu aliyemfumbia mikono kwa unyenyekevu mkubwa!
Mungu mmoja ni lugha ya wanasiasa tu watu wakae kwa amani, umoja na kushirikiana wasivurugane ikawa vigumu kuwatawala.
 
Angelikuwa Mungu ni mmoja, huyu asingeli ruhusu ya 29.10.2025 yatokee. Angelimuogopa Mungu aliyemfumbia mikono kwa unyenyekevu mkubwa!
Mungu mkuu wakuabudiwa ni Yehova pekee, Mungu wa Ibrahim,Isaka na Yakobo. Aliyeziumba mbingu na nchi,na vyote vinavyoonekana na visivyoonekana. Anayetawala vyote mbinguni na duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…