Mungu si athumani.

KIRIKIOU

JF-Expert Member
Jan 28, 2014
241
56
Hivi huu msemo ulitokana na nini.,? Historia yake ikoje...(yani kwa nini athumani na si jina lingine)
 
Athumani ni jina la mtu,kwahiyo mungu si athumani maana yake god is not like human being,mungu upenda wote habagui kama athumani(john doe-mtu).
 
Back
Top Bottom