Mungu nisamehe, nimekula kuku na mayai yake

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
5,495
2,000
Kuna mama mmoja hapa mtaani yuko eary 50's mimi niko early 30's sasa weekend moja nikiwa bar ya mtaani nikajikuta nimekaa nae meza jirani kabisa anapata bia na wamama wenzake, mara wenzake wakaondoka akawa amebakia mwenyewe nikasema ngoja nijisogeze kwa jirani tupige story, ndio kuanza kujuana maana hata majina tulikuwa hatujuani zaidi ya kuonana mtaani tu.

Akaniambia kuwa mumewe alimkimbia na kumwachia nyumba na watoto kwa hiyo anaishi kwa kutegemea biashara ya duka hapo kwake na kodi za wapangaji pamoja na kusaidiwa na wanae, pia anafuga ng'ombe wa maziwa kujiongezea kipato.

Ilipofika saa tano usiku tukaona tuondoke nikamkaribisha nyumbani ni mtaa mmoja, uzuri huku kwetu ikifika saa mbili kila mtuu ndani kwake, watu macho kwenye luninga wanaangalia Lowassa leo kafanya mafuriko wapi. Kilichoendelea huko ndani ni historia kwani ilikuwa ni mara ya kwanza kulala na mtu aliyenizidi miaka kama 20, kakawa ndio kamchezo ketu kisirisiri bila watu mtaani kujua.

Sasa mwezi uliopita binti yake wa mwisho anasoma Mkwawa (MUCE )alishikwa na homa ya ghafla nikapigiwa simu na huyo mama kwani hakuna mtu kuhusu kuumwa kwa binti yake na hakuna mtu, kutafuta sifa nikasimamia shoo binti akapelekwa hospitali mpaka akapata matibabu.

Tukiwa hospitalini na binti tulikuwa tunapiga stori za hapa na pale na tukabadilishana namba kisirisiri bila mama yake kujua kwani tulikuwa nae pamoja hospital. Sasa siku chache baada ya binti kuwa amepona siku moja nikampigia simu aje home alivyokuja nikajichinjia kilaini, Nikajikuta nimekula kuku na mayai yake.

Binti ameniganda ila sijampenda sana na hajui shughuli kulinganisha na mama yake, lazima nikiri kuwa yule mama shughuli anaiweza sana, nashukuru Mungu nasikia vyuo karibu kufunguliwa nitakuwa mbali na huyu binti.

Sasa leo nimekaa nikatafakari naona ninachofanya sio sahihi, huyu binti nimempita miaka kama 10 ila ana mwili mkubwa tukiongozana mtu hawezi kujua kama nimemkata age kihivyo, mama yake naye kanikata miaka kama 20 naona hapo hakuna mapenzi ya kweli, kupitia waraka huu natangaza kuwaacha rasmi.

Ukiacha suala la umri, kitendo cha kula kuku na mayai yake nahisi vita kuu ya tatu ya dunia inakaribia nyumbani kwangu.

Mwenyezi Mungu ni mwingi wa Rehema najua amenisamehe dhambi zangu, ni katika jina la baba na la mwana na la roho mtakatifu Amen..
 

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
5,495
2,000
Sifa za kijinga... Dont worry may be na mama yako analiwa
mama yangu alisha Rest in peace am sorry najua wewe ndiye yule binti yake nisamehe kwa kukuanika humu wewe na mama yako ila mama yako anayajua mambo kuliko wewe
 

pleo

JF-Expert Member
Jun 20, 2013
2,828
2,000
Kuna mama mmoja hapa mtaani yuko eary 50's mimi niko early 30's sasa weekend moja nikiwa bar ya mtaani nikajikuta nimekaa nae meza jirani kabisa anapata bia na wamama wenzake ,mara wenzake wakaondoka akawa amebakia mwenyewe nikasema ngoja nijisogeze kwa jirani tupige story ,ndio kuanza kujuana maana hata majina tulikuwa hatujuani zaidi ya kuonana mtaani tu.
akaniambia kuwa mumewe alimkimbia na kumwachia nyumba na watoto kwa hiyo anaishi kwa kutegemea biashara ya duka hapo kwake na kodi za wapangaji pamoja na kusaidiwa na wanae,pia na fuga ng'ombe wa maziwa kujiongezea kipato.
ilipofika saa tano usiku tukaona tuondoke nikamkaribisha nyumbani ni mtaa mmoja ,uzuri huku kwetu ikifika saa mbili kila mtuu ndani kwake, watu macho kwenye luninga wanaangalia lowassa leo kafanya mafuriko wapi.kilichoendelea huko ndani ni historia kwani ilikuwa ni mara ya kwanza kulala na mtu aliyenizidi miaka kama 20,kakawa ndio kamchezo ketu kisirisiri bila watu mtaani kujua
Sasa mwezi uliopita binti yake wa mwisho anasoma Mkwawa (MUCE )alishikwa na homa ya ghafla nikapigiwa simu na huyo mama kwani hakuna mtu kuhusu kuumwa kwa binti yake na hakuna mtu,kutafuta sifa nikasimaia shoo binti akapelekwa hospitali mpaka akapata matibabu.Tukiwa hospitalini na binti tulikuwa tunapiga stori za hapa na pale na tukabadilishana namba, kisirisiri bila mama yake kujua.kwani tulikuwa nae pamoja hospital.sasa siku chache baada ya binti kuwa amepona siku moja nikampigia simu aje home alivyokuja nikajichinjia kilaini,Nikajikuta nimekula kuku na mayai yake
binti ameniganda ila sijampenda sana na hajui shughuli kulinganisha na mama yake,lazima nikiri kuwa yule mama shughuli anaiweza sana,nashukuru Mungu nasikia vyuo karibu kufunguliwa nitakuwa mbali na huyu binti .
sasa leo nimekaa nikatafakari naona ninachofanya sio sahihi,huyu binti nimempita miaka kama 10 ila ana mwili mkubwa tukiongozana mtu hawezi kujua kama nimemkata age kihivyo,mama yake naye kanikata miaka kama 20 naona hapo hakuna mapenzi ya kweli,kupitia waraka huu natangaza kuwaacha rasmi
ukiacha suala la umri kitendo cha kula kuku na mayai yake nahisi vita kuu ya tatu ya dunia inakaribia nyumbani kwangu

Mwenyezi Mungu ni mwingi wa Rehema najua amenisamehe dhambi zangu,ni katika jina la baba na la mwana na la roho mtakatifu Amen
aisee !
 

Mzimu wa Kolelo

JF-Expert Member
Apr 16, 2013
1,101
2,000
Una dhambi ya zinaa na una dhambi ya kula kuku na mayai ila kudhihilisha nafsi yako kuwa umetubu kweri unatakiwa usizini tena mpk uoe ama cvyo ukiendelea kuzini bdo dhambi ya zinaa ztakutafuna na imesemwa ukimzini dada wa mwenzio na ww utaziniwa dada yako sasa umemzini mama wa mwenzio nawe utaziniwa tu
Ss ili hayo yasitokee unatakiwa utubie moja kwa moja na usizini mpk ukifanikiwa kuoa
 

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
5,495
2,000
Una dhambi ya zinaa na una dhambi ya kula kuku na mayai ila kudhihilisha nafsi yako kuwa umetubu kweri unatakiwa usizini tena mpk uoe ama cvyo ukiendelea kuzini bdo dhambi ya zinaa ztakutafuna na imesemwa ukimzini dada wa mwenzio na ww utaziniwa dada yako sasa umemzini mama wa mwenzio nawe utaziniwa tu
Ss ili hayo yasitokee unatakiwa utubie moja kwa moja na usizini mpk ukifanikiwa kuoa
amen nimeshatubu mkuu
 

Tutsi gl

Senior Member
Aug 20, 2015
112
195
mama yangu alisha Rest in peace am sorry najua wewe ndiye yule binti yake nisamehe kwa kukuanika humu wewe na mama yako ila mama yako anayajua mambo kuliko wewe
you are such a kid..issu nyingine sio za kujisifia na kwakusema me ndo muhusika uko wrong
 

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
5,495
2,000
you are such a kid..issu nyingine sio za kujisifia na kwakusema me ndo muhusika uko wrong
najua id yako ila sikujua kama ungepitia humu na unajua kuwa unasoma MUCE na ulikuwa una malaria nikakupeleka hospital ila ndio hivyo ninatubu kwako na kwa mama yako sitarudia ni shetani tu alinipitiaam sorry
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom