Mungu ni neno la kiswahili

Mungu ni neno la kiswahili

Dony Mushi

New Member
Joined
Aug 8, 2019
Posts
1
Reaction score
3
Mungu ni neno...nikimaanisha ni muunganiko wa herufi M, irabu U , herufi N, herufi G na Mwisho Tena irabu U, ...neno hili ni ishara, ishara hii Ina maana...maana hii Mara nyingi huwa Ina taswira Fulani au mtazamo Fulani....

Mtazamo au taswira hii, huundwa kwenye akili...Na Mungu Mmoja yupo katika lugha, ila maana inayoumbwa na watu ni taswira tofauti Kati ya MTU na MTU....je ni kosa kusema Mungu mmoja hayupo Bali ni matamshi TU? ..

.Ni kosa kusema Hamna anayejua lolote hata yule aliyeunda neno Mungu na waliotufundisha maana ya neno hilo.... ukweli haupo....uongo Pia Haupo....Bali Kuna taarifa zinazojaribu kuelezea uhalisia...Elewa Kauli taarifa....Kauli halisi...zote ni Kauli sio uhalisia
 
Yote ni sawa tu, hayo ni mambo ya imani na kwenye swala la imani Kila mtu huamini kitu kulingana na engo ambayo hiko kitu kilimfanya aamini juu yake na hii ndio maana unaona juu ya neno hilo Kila mtu ako na taswira tofauti na mwingine ndani yake kwakua imani zao hazikujengwa au kutengenezwa kupitia chanzo kimoja.

Kwahiyo kama wewe hakuna engo yoyote inayokufanya uamini juu ya swala hilo ni ruksa kutokuamini kwasababu huwezi kuamini kitu ambacho hujawahi kuona muunganiko wowote wenye mvutano wa kihisia za kiimani kulielekea.
 
Muite enonkwe/Nyamhanga kwa lugha yako punguza siasa!
 
Narudia
God- Great power dream
Mungu- Mkuu nguvu
Gott-Groß Macht traum

Ni neno lenye maana ya mwenye ukuu nguvu na ndoto zaidi ya mwanadamu,
 
Back
Top Bottom