mshana jr pengine wanahoja ila wameiingiza vibaya..
Swali la msingi Mungu yuko wapi pamoja na kumuumba mwanadamu kWa mfano wake Ila amemwacha anatanga tanga,anakufa kwa dhiki,magonjwa,vita na ana angamia kwa kukosa maalifa.
Kwa nn anaruhusu kiumbe wake (mwanadamu) ateswe na nguvu za giza,mapepo na tamaa!,kwa nn ameruhusu shetani awepo anapotosha watu.
Je Mungu anaweza tengeneza Mtu kamili asiye na mawaa????!
Samahani mwalimu wangu Kama nimetopoka,ila nifunze zaidi