Kuna watu niliwahi kuwambia Mungu na Shetani ni marafiki sana. Wakaniona kama nakufuru.Mtu akiteseka wanasema ni mapenzi ya Mungu, Ina maana ana uhusiano na shetani. Mimi ninaona Mungu na shetani ni vitu viwili vinavyofanya kazi pamoja. Ni sawa na mwanga na Giza. Wakati wa mchana mimea inatumia jua kutengeneza ule ukijani wake na usiku mimea inatoa hewa kwa binadamu.
Hata ukifa kwa kupigwa risasi,Mtu akiteseka wanasema ni mapenzi ya Mungu, Ina maana ana uhusiano na shetani. Mimi ninaona Mungu na shetani ni vitu viwili vinavyofanya kazi pamoja. Ni sawa na mwanga na Giza. Wakati wa mchana mimea inatumia jua kutengeneza ule ukijani wake na usiku mimea inatoa hewa kwa binadamu.
Kaka unaona kufru za february makamba hizo?Hata ukifa kwa kupigwa risasi,
Watasema Ni mapenzi ya mungu[emoji22]
Sent using Jamii Forums mobile app
HakikaUkiwa na afya njema, husumbuliwi na madeni, na una vijifedha vya kubadilisha mlo, UTAONGEA MENGI
Una matatizo gani kwanzaUkisoma kwa umakini biblia Mwanzo mpaka ufunuo utaelewa kuwa kitabu kimebadilisha wahusika, Sehtani ameitwa Mungu na Mungu ameitwa shetani.
Mungu wa kwenye biblia anaelezewa kuwa Mungu mwenye wivu anayechukia kuona unamsifu au kumfuata mungu mwingine, Anataka wewe tokea unaamka hadi unalala uwe unamuwaza yeye tu na kufanya kila kitu anachotaka yeye...wakati biblia haijaonesha kama Shetani ana wivu au anataka watu wafuate itikadi zake lasivyo atakasirika.
Kutokana na huu wivu, Mungu wa kwenye biblia ukihesabu ameua wanaume takribani millioni na ushee.....2, 345, 439 (Hapa hatujahesabu wanawake na watoto)
Ukiconsider na source za nje ya biblia idadi inafika mpaka 22, 743, 746
Watu alioua mungu ni wengi, kama wale vijana 42 aliowaua kwasababu walimtania Elisha kuwa ana upaa...
Watu 147, 000 aliowaua kwasababu walitaka demokrasia maana walichoka kupelekeshwa na Mussa
Nk. Nk.
Lakini Shetani wa kwenye biblia ameua watu 10 tu, tena hao 10 aliwaua kwasababu alishinikizwa na Mungu...Mungu alimbinya vidole shetani awaue wale watoto wa Ayubu.
Na muda huo huo, Mungu anasema atakuja siku ya mwisho kuchukua watu wake wachache tu na Kuwachoma kwa moto mkali wengine wote ambao hawakumsikiliza mchana na usiku.
Nani ni shetani apo? Na nani ni Mungu?
Zilongwa mbali,, zitendwa mbali, hapa hatuko kujadili Iran, Quran, wala kadhi. Mleta uzi ni mgala mwenzenu na amesoma biblia na kukiona hicho alichokiona, suala la kusema biblia aisomwi kama gazeti usiniambie mimi bali mwambie huyo mgala mwenzio kwa kuwa yeye ndio alieleta uzi,, shida yangu mimi kwako ni kuingiza Quran, iran, kadhi, sijui albadir kwenye uzi ambao hata hivyo vitu havihusika, na ukitaka kujadili hayo fungulia uzi wako kama alivyofanya mleta uzi,, ila kwa leo jadiliana na mgala mwenzio juu ya kile alichokiona kwenye biblia.Alivyooandika umemuelewa? Biblia haisomwi km gazeti na waliojaribu kusoma km gazeti walishindwa kujua maana yake.
Alichoandika ni kama masimulizi ambayo hayana ukweli 100% ndani yake.
Biblia inakutaka unapoielezea uoneshe vifungu kwa mfano ni Mwanzo sura ya 1, mstari wa 4 inasema hivi ndiyo maana imeandikwa kwa lugha nyingi ili watu waeielewe.
Ukweli usiojificha angekuwa ameisema hivyo quran, kuna masheh wangekuwa wanamsomea Albadili sasa hivi, angefahamika ilikuwa ni kuuliwa au kuhukumiwa kifo kwenye mahakama ya kadhi.
Mfano hai
Iran, mwanamke wa dini ya kiislam hakufunika kichwa aliuliwa
Kuna shekh hapo naijeria amehukumiwa kifo. Uzi wake humu JF
Kuna sheh mwingine Uarabuni alihukumiwa kifo
Kuna mwanamke hapo jirani alimbusu mwanaume hadharani alihukumiwa kifo ila kwa kuona watu wa haki za binadamu wataingilia kati wakabadili hukumu na kufungwa jela miezi 6
Siyo kama wakristo wanatetea dhambi
1. Mungu wao ni mwenye nguvu na anaweza kujitetea ndiyo anayetoa hukumu.
2. Usihukumu usije ukahukumiwa. Ambaye hana dhambi awe wa kwanza kumtupia mawe huyu mtoa uzi? Utaenda mbingu ya nani ukimuua mwenzako
Elimu yako na uelewa wako juu yako ya Mungu uko limited na sio wewe ni tatizo la watu wengi, mwanadamu kupitia adamu alimkataa Mungu na mfumo wake wa maisha ndo maana wewe na wenzako mnatukana Mungu na hawafanyi chochote sababu Mungu hawez shindana na binadamu ambaye atakufaHata ukifa kwa kupigwa risasi,
Watasema Ni mapenzi ya mungu[emoji22]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwez mpangia mtu acomment kama unavyotaka wewe na je kama mleta uzi ni muislamuZilongwa mbali,, zitendwa mbali, hapa hatuko kujadili Iran, Quran, wala kadhi. Mleta uzi ni mgala mwenzenu na amesoma biblia na kukiona hicho alichokiona, suala la kusema biblia aisomwi kama gazeti usiniambie mimi bali mwambie huyo mgala mwenzio kwa kuwa yeye ndio alieleta uzi,, shida yangu mimi kwako ni kuingiza Quran, iran, kadhi, sijui albadir kwenye uzi ambao hata hivyo vitu havihusika, na ukitaka kujadili hayo fungulia uzi wako kama alivyofanya mleta uzi,, ila kwa leo jadiliana na mgala mwenzio juu ya kile alichokiona kwenye biblia.
Huyu jamaa ameni quote na mimi nimemjibu kama nilivyomjibu, sijampangia cha kukoment, kwani kuna wangapi humu wamekoment umeniona nikijbu,, na jeje wewe ndo msemaji wake mkuu?Huwez mpangia mtu acomment kama unavyotaka wewe na je kama mleta uzi ni muislamu
Badala ujibu hoja za mleta mada unahangaika hangaika tu..Alivyooandika umemuelewa? Biblia haisomwi km gazeti na waliojaribu kusoma km gazeti walishindwa kujua maana yake.
Alichoandika ni kama masimulizi ambayo hayana ukweli 100% ndani yake.
Biblia inakutaka unapoielezea uoneshe vifungu kwa mfano ni Mwanzo sura ya 1, mstari wa 4 inasema hivi ndiyo maana imeandikwa kwa lugha nyingi ili watu waeielewe.
Ukweli usiojificha angekuwa ameisema hivyo quran, kuna masheh wangekuwa wanamsomea Albadili sasa hivi, angefahamika ilikuwa ni kuuliwa au kuhukumiwa kifo kwenye mahakama ya kadhi.
Mfano hai
Iran, mwanamke wa dini ya kiislam hakufunika kichwa aliuliwa
Kuna shekh hapo naijeria amehukumiwa kifo. Uzi wake humu JF
Kuna sheh mwingine Uarabuni alihukumiwa kifo
Kuna mwanamke hapo jirani alimbusu mwanaume hadharani alihukumiwa kifo ila kwa kuona watu wa haki za binadamu wataingilia kati wakabadili hukumu na kufungwa jela miezi 6
Siyo kama wakristo wanatetea dhambi
1. Mungu wao ni mwenye nguvu na anaweza kujitetea ndiyo anayetoa hukumu.
2. Usihukumu usije ukahukumiwa. Ambaye hana dhambi awe wa kwanza kumtupia mawe huyu mtoa uzi? Utaenda mbingu ya nani ukimuua mwenzako
Hata kama awe muislam au mkiristo kwa kuwa ameleta hoja kwa vifungu vya mistari ya kitabu kitakatifu ajibiwe kwa hoja za vifungu pia..Huwez mpangia mtu acomment kama unavyotaka wewe na je kama mleta uzi ni muislamu
Umekufuru.Adhabu yako ni kufanya toba/tubu.Ukisoma kwa umakini biblia Mwanzo mpaka ufunuo utaelewa kuwa kitabu kimebadilisha wahusika, Sehtani ameitwa Mungu na Mungu ameitwa shetani.
Mungu wa kwenye biblia anaelezewa kuwa Mungu mwenye wivu anayechukia kuona unamsifu au kumfuata mungu mwingine, Anataka wewe tokea unaamka hadi unalala uwe unamuwaza yeye tu na kufanya kila kitu anachotaka yeye, wakati biblia haijaonesha kama Shetani ana wivu au anataka watu wafuate itikadi zake lasivyo atakasirika.
Kutokana na huu wivu, Mungu wa kwenye biblia ukihesabu ameua wanaume takribani millioni na ushee; 2, 345, 439 (Hapa hatujahesabu wanawake na watoto). Ukiconsider na source za nje ya biblia idadi inafika mpaka 22, 743, 746.
Watu alioua mungu ni wengi, kama wale vijana 42 aliowaua kwasababu walimtania Elisha kuwa ana upaa... Watu 147, 000 aliowaua kwasababu walitaka demokrasia maana walichoka kupelekeshwa na Mussa n.k.
Lakini Shetani wa kwenye biblia ameua watu 10 tu, tena hao 10 aliwaua kwasababu alishinikizwa na Mungu, Mungu alimbinya vidole shetani awaue wale watoto wa Ayubu.
Na muda huo huo, Mungu anasema atakuja siku ya mwisho kuchukua watu wake wachache tu na Kuwachoma kwa moto mkali wengine wote ambao hawakumsikiliza mchana na usiku.
Nani ni shetani apo? Na nani ni Mungu?