February Makamba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 2,204
- 3,060
Na uko Kwa shemeji[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukiwa na afya njema, husumbuliwi na madeni, na una vijifedha vya kubadilisha mlo, UTAONGEA MENGI
Kwa kweli shibe ni mwanamalevya.Ukiwa na afya njema, husumbuliwi na madeni, na una vijifedha vya kubadilisha mlo, UTAONGEA MENGI
Uwe Mkristo jua kwamba kuna hukumu, uwe Muislamu kuna kihama! Asante.Ukisoma kwa umakini biblia Mwanzo mpaka ufunuo utaelewa kuwa kitabu kimebadilisha wahusika, Sehtani ameitwa Mungu na Mungu ameitwa shetani.
Mungu wa kwenye biblia anaelezewa kuwa Mungu mwenye wivu anayechukia kuona unamsifu au kumfuata mungu mwingine, Anataka wewe tokea unaamka hadi unalala uwe unamuwaza yeye tu na kufanya kila kitu anachotaka yeye...wakati biblia haijaonesha kama Shetani ana wivu au anataka watu wafuate itikadi zake lasivyo atakasirika.
Kutokana na huu wivu, Mungu wa kwenye biblia ukihesabu ameua wanaume takribani millioni na ushee.....2, 345, 439 (Hapa hatujahesabu wanawake na watoto)
Ukiconsider na source za nje ya biblia idadi inafika mpaka 22, 743, 746
Watu alioua mungu ni wengi, kama wale vijana 42 aliowaua kwasababu walimtania Elisha kuwa ana upaa...
Watu 147, 000 aliowaua kwasababu walitaka demokrasia maana walichoka kupelekeshwa na Mussa
Nk. Nk.
Lakini Shetani wa kwenye biblia ameua watu 10 tu, tena hao 10 aliwaua kwasababu alishinikizwa na Mungu...Mungu alimbinya vidole shetani awaue wale watoto wa Ayubu.
Na muda huo huo, Mungu anasema atakuja siku ya mwisho kuchukua watu wake wachache tu na Kuwachoma kwa moto mkali wengine wote ambao hawakumsikiliza mchana na usiku.
Nani ni shetani apo? Na nani ni Mungu?
MkuuUkisoma kwa umakini biblia Mwanzo mpaka ufunuo utaelewa kuwa kitabu kimebadilisha wahusika, Sehtani ameitwa Mungu na Mungu ameitwa shetani.
Mungu wa kwenye biblia anaelezewa kuwa Mungu mwenye wivu anayechukia kuona unamsifu au kumfuata mungu mwingine, Anataka wewe tokea unaamka hadi unalala uwe unamuwaza yeye tu na kufanya kila kitu anachotaka yeye...wakati biblia haijaonesha kama Shetani ana wivu au anataka watu wafuate itikadi zake lasivyo atakasirika.
Kutokana na huu wivu, Mungu wa kwenye biblia ukihesabu ameua wanaume takribani millioni na ushee.....2, 345, 439 (Hapa hatujahesabu wanawake na watoto)
Ukiconsider na source za nje ya biblia idadi inafika mpaka 22, 743, 746
Watu alioua mungu ni wengi, kama wale vijana 42 aliowaua kwasababu walimtania Elisha kuwa ana upaa...
Watu 147, 000 aliowaua kwasababu walitaka demokrasia maana walichoka kupelekeshwa na Mussa
Nk. Nk.
Lakini Shetani wa kwenye biblia ameua watu 10 tu, tena hao 10 aliwaua kwasababu alishinikizwa na Mungu...Mungu alimbinya vidole shetani awaue wale watoto wa Ayubu.
Na muda huo huo, Mungu anasema atakuja siku ya mwisho kuchukua watu wake wachache tu na Kuwachoma kwa moto mkali wengine wote ambao hawakumsikiliza mchana na usiku.
Nani ni shetani apo? Na nani ni Mungu?
Kwann SAsa kuna matendo mema na matendo mabaya Je nuru na giza upatanaHuwa nasema
Mm pia mungu ndo shetan mkuu hakuna mungu kuna shetan tu dunian
Tukusaidie nnMaana yeye anafahamu kwamba fulani ata uruke ruke vipi utaishia kufa katika uzinzi au ujambazi sasa kwa nini tena iwe anakuandalia adhabu wakati alijua huwezi mtii.
Iweje akulete duniani kuja kuhitimisha safari ya uhai wa watu wengi.
Tunaomba Mungu tujaailie tuwe na safari njema. Ila baada ya km 230 tunaanguka tunatoa sababu shetani kaingilia kati ya safari yetu. Inaleta maswali
Kwa msiojua, dini ya kiyahudi, inaamini mungu ndo huyohuyo shetwan🙆♀️,in fact kuna vifungu vinaweka waziDhambi ya Kumkufuru Mungu, hata ufanyeje, Huwa ni yamelele, Haina msamaha!!.
Mkuu viwekee wazi Mkuu!Kwa msiojua, dini ya kiyahudi, inaamini mungu ndo huyohuyo shetwan🙆♀️,in fact kuna vifungu vinaweka wazi