Mungu kwanini aliumba wanyama wawindane?

Mungu kwanini aliumba wanyama wawindane?

Ricky Blair

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
552
Reaction score
1,119
Kama Mungu ni msawa kwanini aliumba wanyama wawindane na kuuana km carnivores(simba, chui, Tiger etc) kula herbivores Km swala, pundamilia etc.

Why not wote angewafanya wale majani tu? Hili swali kwa wenye dini. Sitoenda kwa uonevu wa binadamu coz at least binadamu ana some free will.
 
Quote from the Holy Qur'an: Al-Maaida (5:17)

ۗ وَلِلَّهِ مُلْكُ ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلْأَرْضِ وَمَا بَيْنَهُمَا ۚ يَخْلُقُ مَا يَشَآءُ ۚ وَٱللَّهُ عَلَىٰ كُلِّ شَىْءٍ قَدِيرٌ

...Na mamlaka ya mbingu na ardhi na vilivyomo ndani yake ni vya Mwenyezi Mungu. HUUMBA APENDAVYO. Na Mwenyezi Mungu anao uweza juu ya kila kitu.
 
Kama Mungu ni msawa kwanini aliumba wanyama wawindane na kuuana km carnivores(simba, chui, Tiger etc) kula herbivores Km swala, pundamilia etc. why not wote angewafanya wale majani tu? Hili swali kwa wenye dini. Sitoenda kwa uonevu wa binadamu coz at least binadamu ana some free will.
Unataka kumaanisha nini
 
Hata majani nayo yana haki ya kuishi na sio mapendeleo ya majani kuliwa na wanyama wengine. Sasa haki iko wapi?

Kila kiumbe kinapenda kuishi, kuzaliana na kuongezeka. Kifo ni kitu kigumu kwa viumbe vyote lakini ni mpango wa maumbile (nature).

Simba akikutafuna ni haki au sio haki? Na wewe ukila kuku au mahindi ni haki au sio haki? Simba ataishije bila kula mnyama mwingine na mbuzi ataishije bila kula nyasi?

Kuna kubwa zaidi la kuliongea lakini sitafanya hivyo sasa, kwani haki ya Mungu ni kitu kigumu sana wengine wakijua hawatakaa sawa.
 
stadi ya muumbaji hiyo.

Umba na wewe vyakako useme watakula nini 🤣🤣😁😁 na wataishije.
 
Kama Mungu ni msawa kwanini aliumba wanyama wawindane na kuuana km carnivores(simba, chui, Tiger etc) kula herbivores Km swala, pundamilia etc. why not wote angewafanya wale majani tu? Hili swali kwa wenye dini. Sitoenda kwa uonevu wa binadamu coz at least binadamu ana some free will.
Binadamu hana free will…
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom