Mungu katengenezwa na nani?

Nyie watu mtapata tabu sana kuja kunishawishi mpk nizifate dini! kama nyinyi kwa nyinyi mnabishana na kila siku longolongo,nini u perfect wa hao Mungu wenu..?
hivi huyo Mungu anaesema anaupendo ndo huyohuyo kamuacha shetani atwange watu wake anavyotaka,sasa nini maana ya upendo..?
okay hao watenda dhambi wanaenda motoni milele hlf yeye anapata faida gani..?
inafika hatua mpk vitu vyengine unatamani kutukana lkn unaacha yapite tu maana kuna watu wanateseka ni shida hlf linatokeza limtu linasema Mungu anaupendo! what.. inamaana hawaoni hao wenye shida awasaidie..?
et,kuna amri usiue hlf wkt huohuo kuna wengine wanashika mapanga wanawauwa watu et makafiri.. which kind of blindness is this..?
hivi nyie watu wa dini huo ndo utu..? haya ndio mnayofundishwa kufanya..?
Leo hii huko makanisani watu wanaishi kwa chuki,visilani,uzinzi n.k hlf kwenye vitabu vyao hayo hayaruhusiwi lkn anatenda hlf limtu linajiita mtu wa mungu! hivi kwa staili hii utamfanya mtu akiamini unachokiabudu..?
Mkuu hebu niambie imani/msimamo wako ni upi ili tuone kama huo msimamo wako nao hauna makosa pengine unaweza kuwashawishi watu wakawa na huo msimamo
 
Ushahidi uliousema was kutoka Qur'an hauoneshi kwamba umetoka kwa mungu kwa sababu in wa kibinadamu c kimungu hivyo vitabu vya dini vimeandikwa na watu waarabu kwa wayahudi hakuna kitu hicho
Wewe hujui lolote kuhusu kuran. ukiweza kunijibu masuala haya ndipo nitaamini kama una ujuzi wa quran
1.Nini maana ya quran?
2.Msahafu ulianza wapi?
3.Jee kabla ya msahafu quran ilikuwa wapi?
4.Kwanini tukiangalia menuscript za kuran za mwanzo na za saivi zinafanana ilihali ishapita miaka 1400 na hakuja badilika kitu?
 
Kwa hapa tu nimjua wewe hujui kitu nakusahisha kwanza hapa sio kuran ni Qur'an

Nitakujibu ukinijbu hapa kabla ya mtume Islam walitumia kitabu gani?

Nieleze kwa nn mtume aliingia na viatu msikitini?
 
Wewe hujui lolote kuhusu kuran. ukiweza kunijibu masuala haya ndipo nitaamini kama una ujuzi wa quran
1.Nini maana ya quran?
2.Msahafu ulianza wapi?
3.Jee kabla ya msahafu quran ilikuwa wapi?
4.Kwanini tukiangalia menuscript za kuran za mwanzo na za saivi zinafanana ilihali ishapita miaka 1400 na hakuja badilika kitu?
Umekimbia nasubili jibu nimbie waislam walitumia kitabu gani kabla ya mtume c mnasema Qur'an iliteremshwa!! Sasa kabla ya kuteremshwa mlitumia kitabu gani

MNA utaratibu wa kuvua viatu kuingia msikitini kuswali

Kwa nini mtume Muhammad S A W aliingia navyo hali ikiwa ninyi hamfanyi hivyo?

Najua huwezi kujibu halo nakupa wiki kawaulize mashekhe uniletee jibu
 
Sikiliza wewe sijakusudia mungu wa kristo ndio huyo huyo wa kwetu sisi . ila nina maana hii, hilo neno yehova ni la kiibrania kwa kiarabu linatafsirika "Oh Allah". Na hilo jina mwanzo wake lilianza kwenye kitabu cha zaburi ambacho Mtume aliepewa kitabu hicho ni Daudi (Peace be Upon him). Sasa wao Daudi wala sio nyinyi wakiristo walikuwa wakimwita Allah kwa jina la Yehova.

Kwanza nyinyi wakiristo ni wapagani wala hamuna dini.Mwanzo kabisa mulikuwa mukisema mungu ni jesus baada ya kusoma mukatoa new testment sasa mukasema hapana yule jesus si mungu bali ni mtoto wa mungu tu. Mukasema mungu wa kweli sasa anaitwa "yehova".Lakini kuran tokea ireveal miaka 1400 mpaka leo hii aya haijabadilika "Sema, huyo Allah ni mungu mmoja" 112:1 QURAN.
Sasa kwa ushahidi huu kutoka kwenye bibilia nyie ni wapagani
"Wakiristo maana yake ni wafuasi wa kristo, hilo ni jina la kupanga tu.Lililotumiwa na wapagani wa Antioquia".
Matendo ya Mitume 11:25
Sasa sisi tunajua wazi nyie ni wapagani hamuna mungu wala dini.Wala huyo yehova hatambui ukiristo wenu.

Zamu yako nipe ushahidi unaosema "Allah anaabudu majini" kutoka katika kitabu chochote kile iwe bible au quran
Nipe tafsiri ya maneno hata
"Inna llah wamalaikatahu yuawaluuana ala nnabiy
 
Hakuna Mungu. Ametungwa na watu tu. Ni character tu kama Santa Claus.
Mungu yupo kiongozi. Ila siyo huyu tuliyelishwa na wazungu na waarabu ili watuteke na kututawala kimawazo
Naamini kabisa yupo aliyeumba hivi vyote vilivyomo humu duniani na kwingineko. Hebu fikiri vitu kama mpangilio wa nyota na vingine vingi lazima kuna aliyeviratibu vyote hivi.
Hata zamani mababu na bibi zetu walimuabudu huyo Mungu muumba kabla hata ya wageni kutuletea hizi dini zao, kwa hiyo hapa unaona kabisa yupo aliye juu ya vyote hivi
 
Unajua ukifikiri hivyo,kwamba kila complexity ni lazimaiwe na muumbaji, utajifunga kwa sheria yako mwenyewe urudi kukubaliana nami kwamba Mungu hayupo.

Kwa ajili ya kuzungumzakiuchunguzi tukubalikwamba hakuna kilicho complex ambachokinaweza kutokea bilakuumbwa na kingine.

Naturally, kinachoumba kitakuwa complex zaidi, kwa hivyo nachokitakuwa complex.

Na kwa sababu hakuna kilicho complex ambacho hakijaumbwa, nacho kitahitaji muumbaji.

Utarudi hivyo hivyo, ad absurdia, ad nausea, utakuta ukiifuata sheria hiyo, Mungu hawezi kuwepo.

Kwa sababu na yeye atakuwa complex na atahitaji muumbaji na muumbaji atahitajimuumbaji bila mwisho.

Unaona udhaifu wa kanuni yako sasa?

Unaona inavyotupeleka kuona Mungu hawezi kuwepo?
 
Back
Top Bottom