Nyie watu mtapata tabu sana kuja kunishawishi mpk nizifate dini! kama nyinyi kwa nyinyi mnabishana na kila siku longolongo,nini u perfect wa hao Mungu wenu..?
hivi huyo Mungu anaesema anaupendo ndo huyohuyo kamuacha shetani atwange watu wake anavyotaka,sasa nini maana ya upendo..?
okay hao watenda dhambi wanaenda motoni milele hlf yeye anapata faida gani..?
inafika hatua mpk vitu vyengine unatamani kutukana lkn unaacha yapite tu maana kuna watu wanateseka ni shida hlf linatokeza limtu linasema Mungu anaupendo! what.. inamaana hawaoni hao wenye shida awasaidie..?
et,kuna amri usiue hlf wkt huohuo kuna wengine wanashika mapanga wanawauwa watu et makafiri.. which kind of blindness is this..?
hivi nyie watu wa dini huo ndo utu..? haya ndio mnayofundishwa kufanya..?
Leo hii huko makanisani watu wanaishi kwa chuki,visilani,uzinzi n.k hlf kwenye vitabu vyao hayo hayaruhusiwi lkn anatenda hlf limtu linajiita mtu wa mungu! hivi kwa staili hii utamfanya mtu akiamini unachokiabudu..?
Kushasoma post yangu vizuri au umesoma heading tuHEADING TYU INACHOSHA ETI MUNGU KATENGENEZWA UKO SERIOUS KWEL WW?
Mfuasi wa KristoNini maana ya Mkristo?
Mfuasi Was Yesu kristoNini maana ya Mkristo?
Utasumbuka sana kumjua Mungu hadi hapo utakapojua Mungu yupo kila sehem. coz hicho kitabu chako kimekuaminisha kumwomba Mungu hadi ugeukie upande mmoja na anajua kiarabu tu.
Usilazimisha kufananisha eti Sauli wa mbagala ndo huyohuyo wa masaki....Waislamu mnapenda kujifanya eti Mungu wa Wakristo ndo huyohuyo mungu wa waislamu sio kweli.....Mungu anayehamasisha chuki na mauaji dhidi ya wasiowaislamu sio huyu anayesema umpende adui yako na msamehe saba mara sabini......Sisi tunajua Yehova ndiye huyo Allah sema katika kitabu cha zaburi ambacho ameshushiwa nabii daudi alikuwa akitambulika
kama Yehova kwa lugha yao .
Na Allah anajua zaidi
Unataka ushahidi gani wa picha, maandiko ama videoTupe andiko kutoka katika kitabu chochote panaposema Allah anafundisha chuki kama wewe unasema kweli
Wapi weweKwanza umepotea ndugu mola wangu na muomba kwa lugha yoyote ninayopenda nae anasikia
Usilazimisha kufananisha eti Sauli wa mbagala ndo huyohuyo wa masaki....Waislamu mnapenda kujifanya eti Mungu wa Wakristo ndo huyohuyo mungu wa waislamu sio kweli.....Mungu anayehamasisha chuki na mauaji dhidi ya wasiowaislamu sio huyu anayesema umpende adui yako na msamehe saba mara sabini......
allah si anaruhusu muoe hadi vivulana sio Mungu wa kweli
allah anaabudu majini wkt Mungu kwa kweli Yehova anakataza
ACHA KUDANGANYA NA KUJIDANGANYA
Huna maneno toa andiko nami nitowe andikoWapi wewe
Mkristo ni mtu aliyempokea YESU (Okoka) kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yake.Nini maana ya Mkristo?
Ushahidi uliousema was kutoka Qur'an hauoneshi kwamba umetoka kwa mungu kwa sababu in wa kibinadamu c kimungu hivyo vitabu vya dini vimeandikwa na watu waarabu kwa wayahudi hakuna kitu hichoHabari, nilikuwa nalisikia sana suali hili lakini leo nimeamuwa kulijibu kwa kunukuu maneno yake mungu
Kiukweli ni suali moja gumu ambalo haliwezi kujibiwa na yoyote katika dunia ama kwengine kokote kule isipokuwa yeye mwenyewe mungu ndio ana jawabu ya hili suala.
Masuali kama haya yanakuja kwasababu watu hawafahamu maana ya mungu.
Mungu ni nani?
Neno mungu ina maana nyingi lakini moja wapo ni yule ambaye ana sifa ya kuumba ama kutengeneza chochote kile pasi na kufundishwa wakati yeye hakutengenezwa.
Ina maana yoyote alietengenezwa au kuumbwa basi hana nafasi ya kuwa mungu.Ndio sisi waislamu ikawa tunaamini mungu mmoja tu ambae ni muumbaji wa kila kitu na tunakataa kuwa mtu au chochote kilichoundwa kuwa ni mungu.
Kuna msemo usemao kila kitu kilichotengenezwa kina mtengenezaji wake.Ni kweli
Lakini pia nina suali hili, jee fomula ya kutengeneza ama kuumba kaanzisha nani?
Nina Imani tukijua aliyeanzisha kuumba ama kutengeneza basi itakuwa ni wa mwanzo kabisa kutengeneza ama kuumba, kwa maana hiyo hakutakuwa na mwengine aliyekuwa akijua kufanya hivyo kabla.
Jawabu linakuwa kama ifuatavyo mungu ndio muanzilishi wa uumbaji ama utengenezaji kwa hiyo kama yeye ndiye mwanzilishi wa fani hiyo sasa inakujaje awe yeye kaumbwa wakati ndiye aliyeanzisha huko kuumba na ushahidi sahihi wa hili upo katika kitabu cha Mungu ambacho mimi nakiamini ni kuran. Kuran sura ya 112 katika aya 3 (112:3) inasema hivi "yeye hakuzaliwa wala hakuzaa."
Kwa hiyo ili itikadi ya mmoja ikimalike lazima aamini kuwa mungu hakuumbwa wala hana familia.wakati yeye ndiye wa mwanzo kuanzisha kuumba , pasi na hapo imani ya mmoja huyo haitakuwa sahihi.
Ili mungu awe mungu lazima awe hajaumbwa na yeye ndiye aliyetufundisha ujuzi huu sisi wanadamu kwa idhini yake.Na akatuekea limit ya huko kutengeneza
Hivyo kama utajiuliza suali nani katengeneza gari jawabu itakuwa mtu ndio mtengenezaji wa gari na wala gari haikuja wenyewe, na kama ukijiuliza jee mtu katengenezwa na nani basi huyo mungu ndio aliyemtengeneza mtu na kama ukijiuliza mungu katengenezwa na nani basi hutopata jibu kwasababu yeye ndiye mwanzilishi wa uumbaji wote.
Hivyo mungu hajatengenezwa ama kuzaliwa . Na kama ikiwa kuna mungu aliyetengenezwa ama kuumbwa basi huyo atakuwa siye mungu wa kweli.
Ushahidi nimetowa kutoka kwenye quran tu na kwasababu nimeona vitabu vingi vina mgongano wa huyo mungu kwa mfano bible utakuta wengine wanasema mungu ni jesus wengine wanasema hapana, jesus sio mungu ila ni mtoto wa mungu ila kuran peke yake haina mgongano katika suala la mungu ni nani.
Ametukuka mola wangu ambae hakujifanyia mtoto wala mke
Mmedanganywa wengi kasome tena au hujawaza sawasawa unaweza kujiuliza kwa nn wakati wa kuswali unalazimika kuangalia Qbra na so kwingineko au kwan ukiangalia kusini mungu hakusikii?Sikuwa na maana ya kukufuru ila nafamu wazi ya kwamba bwana wangu Mungu ambae ni Allah hakuumbwa ila tu natoa naukuu jawabu yake mungu na kutoa chalenji kwa wale wenye kutaka kujua suali kama hili.
Yeye ndiye wa mwanzo hakuna kitu kilitangulia kwake na yeye ndiye wa mwisho hakuna kitu kitakuja baada yake na yeye ndiye wa dhahiri na yeye ndiye aliyefichikana na yeye ni muweza juu ya kila kitu
Quran