Mungu Ibariki. ......

Mungu Ibariki. ......

Rudi kwenye jukwaa lako la mapenzi, huku utabakwa, utango'lewa kucha na kisha utatupwa baharini ukiwa kwenye kiroba, huu mziki tuachie siye.

Toobaaah.... mbona wanitishaa! !!??? Ndo inavokuwaga kumbeee.....

Ngoja nikimbie mwaya asante kwa kunitahadharisha ila mapenzi /mahaba nayo yanachosha. .... hehehehehhehee.
 
Ok.... ila suala la miungu mingi kuwepo huku duniani... na tungo tata ya Mungu Ibariki. ....bila kuwekana wazi kuwa anayemaanishwa ni Mungu yupi.... inanipa ukakasi kidogo.
Hahah!! Mkuu usijari sana juu ya hizo kauli za Kimungu mana ata nyumba za ibada tunasali ni wachawi, majambazi na wengine wengi
 
Yeah ni kweli. ....

Ngoja niyaache yapite niendelee na yangu mahaba.
 
Hahah! sawa mkuu ila naomba kwanza nijue unasimama upande gani katika siasa, hapa kazi tu au tunaandamana?
 
Dada yangu kasie salamu zangu zikufikie huko uliko!!

Wewe kwanza unaamini uwepo wa Mungu...??
Na kama unaamini ni Mungu gani huyo..? wa Quran,biblia,bahai au asiye ingilia uumbaji wake..??
 
Mungu ni yule yule hakuna mungine hakuna miungu wengi duniani na mbinguni mungu ni mmoja tu.
 
Hehehehehee ndomaana wiseboy. kaniambia nirudi kwenye mapenzi huku hapanifai.

Msema ukweli mpenzi wa Mungu, mie siko upande wowote ila kuna hoja na hoja za pande zote mbili zikiniboa naponda na wakifanya vizuri nakubaliana nao.

Kipindi cha uchaguzi mwaka 2015 sikuwa kwenye harakati za siasa huku jukwaani tuu ila huko mtaani kiuhalisia nilikuwa shabiki namba moja na nilikuwa upande wa Lowasa. Hata siku ya kupiga kura nilienda japo palikuwa mbali na nyumbani, nakumbuka hiyo siku nilianzisha uzi wa catch me if you can enzi niko na kitambulisho cha Kasinde.

Baada ya uchaguzi nikaanza kufatilia matokeo huku nami nikiweka records kwenye excel sheet yangu ili nione kama ingefanana na ile aliyokuwa anaisoma babu pale ukumbi wa JNICC....... looh siku anatangaza kuwa mamvi ndo namba mbili akiongozwa na mzee baba daah roho iliniuma. .....Nakumbuka jiji la Dar lilipoa.... lilikuwa kimyaa hakuna aliyekuwa na shamra shamra kushangilia ushindi wa aliyetangazwa ndo mheshimiwa sana.

Tangu hapo..... nimekata matumaini na siasa... naona naweka uchungu hasira chuki na nchi yangu ilhali ndugu zangu bado wanakaa humo na kipindi hiko nami nilikuwa naishi humo.... na nnavopenda kutabasamu na kucheka.... kiukweli siasa siiwezi japo nikianza kuongea naweza hata kukusahaulisha majukumu yako jinsi nnavoteka akili..... Hii ni ana kwa ana au uso kwa uso.

Hivo kwa sasa siko upande wowote, ntakuwa naangalia mchezo unavoenda nikiona nazidiwa ntajumuika tuu. Ila mamvi nilitamani ile siku angesema tuandamane usiku ule uliotangazwa matokeo walaah mngeniona fonti fedi kwenye TV na magazeti.... nilikuwa na moto wa siasa hatari. Sasa hivi nna mahaba tuu heheheheee.

Kasie Matata.
 
Asante kwa salamu, nimezidaka.

Naamini Mungu yupo, mie ni mkristo namwamini Mungu mmoja, baaba mweenye eenzii. Muumba wa mbingu na nchii, na vitu vyote vinavyoo of eekaanaaa na visivyooo oooneekaanaa.

Na mwana mmoja Yesu Kristo. ... mwana pekee wa Mungu mwana waa azalii. .......

Hiyo ni sehemu kwenye imani ya mitume inaimbwa na kusemwa kanisani kwwnye ibada.

Pia kitabu cha Mungu - biblia inasema kuna Mungu wa Ibrahim, mungu wa Isaka na Mungu wa Yakobo. ... huyu ndo ninayemfahamu na niliyempokea kiimani kutoka kwa wazazi wangu. Na bado sijatoka huko japo sikuhizi nakuwa mvivu wa kwenda kanisani.

Kwenye kitabu hicho hicho cha Mungu wameelezea kuwa kuna Mungu wa baali.... Mungu wa sanamu za kuchonga. ... na wengine wengi ambao wote hao walikuwa chukizo kwa Mungu.

Sijui nimejielezea sana na nimejikuta swali au bado swali sijalijibu. .......

Kasie maneno mengi.
 
Japo si lengo la mada husika ila vinaingiliana, mungu aliyeumba mbingu na nchi ni Mungu mmoja kwa kadri ninavyofahamu na kwa imani ya kikristo ndo Mungu aliye juu kuliko miungu mingine, mungu mwenye wivu, mungu aliyesema yeye ni niko ambaye niko. Na Mungu huyu kwenye kitabu cha Mungu - biblia akitajwa basi herufi ya kwanza huwa kubwa yaani capital M. Ila wakitajwa miungu mingine huwa kwa herufi ndogo zote.... mungu.

Na wanadamu walijifanyia miungu yao mingi tuu na wanaiabudu hata leo hii... hapa ndo napata swali dadisi. .... hitimisho la hotuba linamaanisha Mungu yupi...?
 
Hehehehehee ndomaana wiseboy. kaniambia nirudi kwenye mapenzi huku hapanifai.

Msema ukweli mpenzi wa Mungu, mie siko upande wowote ila kuna hoja na hoja za pande zote mbili zikiniboa naponda na wakifanya vizuri nakubaliana nao.

Kipindi cha uchaguzi mwaka 2015 sikuwa kwenye harakati za siasa huku jukwaani tuu ila huko mtaani kiuhalisia nilikuwa shabiki namba moja na nilikuwa upande wa Lowasa. Hata siku ya kupiga kura nilienda japo palikuwa mbali na nyumbani, nakumbuka hiyo siku nilianzisha uzi wa catch me if you can enzi niko na kitambulisho cha Kasinde.

Baada ya uchaguzi nikaanza kufatilia matokeo huku nami nikiweka records kwenye excel sheet yangu ili nione kama ingefanana na ile aliyokuwa anaisoma babu pale ukumbi wa JNICC....... looh siku anatangaza kuwa mamvi ndo namba mbili akiongozwa na mzee baba daah roho iliniuma. .....Nakumbuka jiji la Dar lilipoa.... lilikuwa kimyaa hakuna aliyekuwa na shamra shamra kushangilia ushindi wa aliyetangazwa ndo mheshimiwa sana.

Tangu hapo..... nimekata matumaini na siasa... naona naweka uchungu hasira chuki na nchi yangu ilhali ndugu zangu bado wanakaa humo na kipindi hiko nami nilikuwa naishi humo.... na nnavopenda kutabasamu na kucheka.... kiukweli siasa siiwezi japo nikianza kuongea naweza hata kukusahaulisha majukumu yako jinsi nnavoteka akili..... Hii ni ana kwa ana au uso kwa uso.

Hivo kwa sasa siko upande wowote, ntakuwa naangalia mchezo unavoenda nikiona nazidiwa ntajumuika tuu. Ila mamvi nilitamani ile siku angesema tuandamane usiku ule uliotangazwa matokeo walaah mngeniona fonti fedi kwenye TV na magazeti.... nilikuwa na moto wa siasa hatari. Sasa hivi nna mahaba tuu heheheheee.

Kasie Matata.
Mi siyo mwanasiasa
 
Sawa mkuu nimekuelewa japo umejificha lakini upo katika upande sahihi kabisa
 
Hahahahaaa usinitie moyo ndugu.... siasa kama una roho ndogo unaweza kutoa mchozi unalia wakati hauna msiba wala hauumwi.

Kila la kheri.
 
Asante kwa salamu, nimezidaka.

Naamini Mungu yupo, mie ni mkristo namwamini Mungu mmoja, baaba mweenye eenzii. Muumba wa mbingu na nchii, na vitu vyote vinavyoo of eekaanaaa na visivyooo oooneekaanaa.

Na mwana mmoja Yesu Kristo. ... mwana pekee wa Mungu mwana waa azalii. .......

Hiyo ni sehemu kwenye imani ya mitume inaimbwa na kusemwa kanisani kwwnye ibada.

Pia kitabu cha Mungu - biblia inasema kuna Mungu wa Ibrahim, mungu wa Isaka na Mungu wa Yakobo. ... huyu ndo ninayemfahamu na niliyempokea kiimani kutoka kwa wazazi wangu. Na bado sijatoka huko japo sikuhizi nakuwa mvivu wa kwenda kanisani.

Kwenye kitabu hicho hicho cha Mungu wameelezea kuwa kuna Mungu wa baali.... Mungu wa sanamu za kuchonga. ... na wengine wengi ambao wote hao walikuwa chukizo kwa Mungu.

Sijui nimejielezea sana na nimejikuta swali au bado swali sijalijibu. .......

Kasie maneno mengi.
Ahsante!!

(Tanzania imejikita katika Quran & Bible)

Je Mungu anatoa Baraka kwa kila amuombaye...?

Vipi kuhusu wewe ulishawahi kumuomba Mungu kisha akakutimizia hitaji lako..?

Kama Ndio, kwanini iwe vigumu kwa Taifa pia kupata baraka/au hitaji la Taifa...?
 
Nahisi sijakuelewa.
 
Back
Top Bottom