Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Tuombe!!
Eeh mwenyezi Mungu tunashukuru kwa kuliweka Taifa la Russia duniani na ukasema atakuaa mwamba wa kaskazini.
Bila Russia, Marekani angekua kashaeneza sera na agenda zake za NWO pamoja na LGBTQ. Russia anapambana na huu ushetani wa Marekani na vibaraka wake wote.
Tunakushukuru Mungu baba kwa kulipa nguvu hili taifa na uendelee kulibariki, mbariki Rais Putin na wasaidizi wake kwani wanafanya kazi kubwa sana kupambana na viongozi waovu wa mataifa ya magharibi.
Eeeh mwenyezi Mungu tazama Africa tunanyanyaswa na mataifa ya magharibi kama Marekani eti tusinunue mafuta kutoka Russia huu ni uonevu mkubwa. Taifa la Marekani lina kwenda kuanguka kwa AIBU kwani falme nyingi kubwa na za kutisha zilipita kama upepo na kuanguka.
Mungu ibariki Russia, Taifa teule
Sote tuseme Amen!!![emoji120]