Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member Aug 9, 2007 18,697 8,843 Dec 12, 2010 #3 Kwa kuwa MKWERE hayupo , USHINDI UPO WAZI!
Ng'wanangwa JF-Expert Member Aug 28, 2010 10,827 4,172 Dec 12, 2010 #4 Gaza said: kipindi cha kwanza sisi 1 wao 0 Click to expand... ivory coast wameuza mechi.
Easymutant R I P Jun 3, 2010 2,564 1,129 Dec 12, 2010 #5 Kibanga Ampiga MKoloni said: Kwa kuwa MKWERE hayupo , USHINDI UPO WAZI! Click to expand... ua very smart kumbe na wewe ushagundua eeh! hata ile siku tumewabanjua Uganda kwa matuta pia jamaa hakuwepo :teeth:
Kibanga Ampiga MKoloni said: Kwa kuwa MKWERE hayupo , USHINDI UPO WAZI! Click to expand... ua very smart kumbe na wewe ushagundua eeh! hata ile siku tumewabanjua Uganda kwa matuta pia jamaa hakuwepo :teeth:
Keynes JF-Expert Member Nov 1, 2010 533 89 Dec 12, 2010 #7 wazeeeeeeeeeeeeee ni kweli tumeshinada??? tupeni habari za ukweli huku mawimbi siyo mazuri.
Mungi JF Gold Member Sep 23, 2010 16,975 9,566 Dec 12, 2010 #8 Asante Mungu kwa kumzuia Mkwere kushiriki kuangalia Mechi, Asante Mungu kwa Ushindi. Mungu Ibariki Tanganyika, Mungu ibariki Africa, Mungu Mlaani Mkwere.
Asante Mungu kwa kumzuia Mkwere kushiriki kuangalia Mechi, Asante Mungu kwa Ushindi. Mungu Ibariki Tanganyika, Mungu ibariki Africa, Mungu Mlaani Mkwere.
AMARIDONG JF-Expert Member Jun 24, 2010 2,502 180 Dec 14, 2010 #10 jerusalem said: ivory coast wameuza mechi. Click to expand... na wewe uza ****;;;
AMARIDONG JF-Expert Member Jun 24, 2010 2,502 180 Dec 14, 2010 #12 mtawala said: t........................ko Click to expand... unamaanisha jamaa ni bwabwa au?watu humu mnajuana du:;
mtawala said: t........................ko Click to expand... unamaanisha jamaa ni bwabwa au?watu humu mnajuana du:;