Mungu huzihifadhi wapi roho za marehemu?

no one knows and no one will give you the right answer, Mungu mwenyewe ndiye mwenye majibu.
kuna maswali ambayo hatuwezi kupata majibu kamwe kwa kuwa Mungu hakutaka tuyafahamu hayo, kuna rafiki yangu aliniuliza "watakaofanikiwa kuingia mbinguni, wataongea lugha gani? maana kutakua na wachina, watanzania, wamarekani, wafaransa na wengineo. Je, watakutana na ndugu zao? kama ni mke, atakutana na mumewe aliyetangulia? na kama huyu mke aliolewa tena, huyo mume wa kwanza atafanya nini?"

correct me if Im wrong. Ishmael, Eiyer, Petro E. Mselewa
 
Last edited by a moderator:

Majibu ya maswali yote aliyo kuuliza Rafiki yako yapo.

Ngoja nijibu swali kako la Lugha ya Mbiguni: Je, unafahamu Lugha ambayo Adam alitumia kuzungumza na Mungu?
 
Majibu ya maswali yote aliyo kuuliza Rafiki yako yapo.

Ngoja nijibu swali kao la Lugha ya Mbiguni: Je, unafahamu Lugha ambayo Adam alitumia kuzungumza na Mungu?

hapana sifahamu, na hata katika Biblia sijaona palipoandikwa ni lugha gani waliyoongea, pengine ipo, nipe elimu mkuu
 
Kabla ya kukupa jibu. Je, Adam alijifunzaje hiyo Lugha? Au alipo umbwa tu aliweza kuizungumza?
 
naona alizungumza bila kufundishwa
Kwahiyo, argument yako ya Wachina, Wamarekani, Watanzania etc etc wataifahamu vipi hiyo lugha umesha jijibu mwenyewe. Sasa twende kwenye SWALI la Lugha. Je, Jina la Eva au Adam ni la lugha gani?
 
ni ya kiswahili kama sikosei.
 
The very name Adam is from the Hebrew word adamah (earth), referring to the fact that G-d created Adam from the earth. From the time of Adam and Eve until the generation of the Tower of Babel, everyone spoke Hebrew.

asante kwa kunielewesha mkuu
 
Age has nothing to do with comprehension of life after death. By the way, you don't need experience to understand something.

Nakumbuka umeniquote kuwa una majibu, ukaniita 'young man' niliamua kukubali kuwa youngman ili nijifunze kwako. Sasa unageuka na kusema age has nothing to do with comprehension !!
^^
 
Mkuu it seems you have something to say. Plz say it.

Unaposema jibu kama lipo ni la kufarijiana unamanisha nini? Jee unamanisha baada ya kufa hakuna kinacho/kitakacho endelea?

Mkuu Mashaxizo
Nakubali kabisa kuwa binadamu wana uzoefu tofauti wa maisha, wana elimu, imani, sayansi, teknolojia, historia, tamaduni n.k Vyote hivyo vinaweza kuwapa majibu ya maswali yao.
Back to topic:
Ukitazama muundo wa swali la Mleta mada, linamtaka atakaejibu awe na uhakika usiozua maswali. Yaani ajue sehemu halisi Mungu anapoweka roho za waliokufa!!
Sasa, ipo haja ya kutambua pia ni nani anayejibu na alitoka lini huko. Watumishi wengi wa Mungu wanapaswa kukumbuka kuwa '.. YALE YALIYOFUNULIWA NI YA WANADAMU NA YALIYOFICHWA NI YA MUNGU...' Kifo ni mojawapo ya yaliyo ya Mungu
^^
 
Last edited by a moderator:
Nakumbuka umeniquote kuwa una majibu, ukaniita 'young man' niliamua kukubali kuwa youngman ili nijifunze kwako. Sasa unageuka na kusema age has nothing to do with comprehension !!
^^
To be a young man it doesn't mean you are dumb. What is going on dude?
 
Mkuu Mashaxizo
Nakubali kabisa kuwa binadamu wana uzoefu tofauti wa maisha, wana elimu, imani, sayansi, teknolojia, historia, tamaduni n.k Vyote hivyo vinaweza kuwapa majibu ya maswali yao.
Back to topic:
Ukitazama muundo wa swali la Mleta mada, linamtaka atakaejibu awe na uhakika usiozua maswali. Yaani ajue sehemu halisi Mungu anapoweka roho za waliokufa!!
Sasa, ipo haja ya kutambua pia ni nani anayejibu na alitoka lini huko. Watumishi wengi wa Mungu wanapaswa kukumbuka kuwa '.. YALE YALIYOFUNULIWA NI YA WANADAMU NA YALIYOFICHWA NI YA MUNGU...' Kifo ni mojawapo ya yaliyo ya Mungu
^^
Mkuu swali la mleta mada linataka jibu la aina uliyosema lakini je ni uhakika upi?

Nauliza hivi kwasababu kuna uhakika wa aina mbili

1; Uhakika wa Kiimani
2;Uhakika wa kisayansi

Lakini ukiangalia msingi wa swali ni imani hivyo hata majibu yake nadhani yanapaswa kuwa kiimani zaidi ....!!
 
Kama ni majibu ya kiimani, hayo yapo mengi.. Karibu kila dini imejiandalia majibu yanayowatatiza wafuasi wake.
^^
 
Mkuu swali la mleta mada linataka jibu la aina uliyosema lakini je ni uhakika upi?

Nauliza hivi kwasababu kuna uhakika wa aina mbili

1; Uhakika wa Kiimani
2;Uhakika wa kisayansi

Lakini ukiangalia msingi wa swali ni imani hivyo hata majibu yake nadhani yanapaswa kuwa kiimani zaidi ....!!

Kiongozi Salama:

Umemjibu vyema kabisa huyo kijana. In fact, Sayansi/sayansia haina majibu ya kila kitu na bado ni tegemezi kwetu sisi "Wakristo" wenye majibu yote hapa Duniani.

Sayansi haiwezi kujibu kuhusu Roho kwasababu, Sayansi haina uwezo wa kueleze/a Roho ni nini? Sayansi haiwezi kueleza maisha ni nini, jambo ambalo litabakia ni taboo kwao.

Imani, pekee inayo weza jibu kuhusu haya mambo nia ya Ukristo. Period. Uislam sio mali kitu na hauna jipya zaidi ya kutukopia sisi.

Hata Wapinga Mungu (God Haters) sio mali kitu, wao ni tegemezi kwetu. In fact, wao wapo kwasababu ya sisi Wakristo.

Hakika Yesu Ni Mungu na hakuna upinzani hapo.
 
Roho huenda heaven au ether au earth au hell.Kutegememana na dhambi zako
 
[QUOTE=

Je,Mungu huzihifadhi wapi roho za marehemu ili wakati wa ufufuko roho iunganishwe tena na mwili?

KWENYE MEMORY CARD.....................I JOKE

NI HIVI FIKIRI KUHUSU WACHAWI,,,,WAO WANAPOKUWA WANAWANGA HUWA KATIKA ROHO,,,,
NA KAMA UNA UWEZO WA KUWAONA UNAKUWA UNAWAONA KATIKA ROHO PIA,,TOFAUTI YA ROHO NA MWILI NI KWAMBA ROHO HAINA MFUPA NA ILA MWILI UNA MFUPA
SASA MCHAWI AKIKAMATWA MWILI WAKE HUWA UNAFUATA MWILI GHAFLA
NDO HAPO UNAKUTA MUME ANA MKE MCHAWI LAKINI HAJAWAI KUJUA ILA MTAA MZIMA WANAJUA
ANAPOWANGA ANAKUWA KTK ROHO
SASA WAZIA MBINGUNI KUKOJE UTAPATA JIBU HIZO ROHO ZINAHIFADHIWA WAPI
SO ROHO NI NAFSI PASIPO MWILI,,,ZINAJITAMBUA,UNAKUFA UNAENDA MBINGUNI,,UTAKAA WAPI ?UTALATIBU UTAUKUTA HUKOHUKO ILA HAUTAKUWA NA MWILI INGAWA UTAKUWA NA TASWIRA YAKO
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom