MUNGU HUSIKIA VILIO VYA WOTE WANAOMUITA NA KUMTEGEMEA!

MUNGU HUSIKIA VILIO VYA WOTE WANAOMUITA NA KUMTEGEMEA!

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2016
Posts
10,516
Reaction score
13,270
1471150238239.jpg

SIJUI HUYU MAMA ALIKUWA ANAOMBA NINI...EEH MUNGU UMSIKIE KILIO CHAKE MUONDOE KATIKA DHIKI HII....
 
Nadhani ni Murundi huyu mama amekimbia milio ya risasi na hapa anaomba avuke barabara salama aingie mpakani aiponyeshe nafsi yake na ya mwanaye. Hata weye omba yasikukute hayo, kwa hapa kwetu tutakwisha ka panzi.
Ni Tz tu nilishangaa, mtu anasikia mlio wa mpasuko mkuu anaacha shughuli zake anakimbilia huko huko mlio ulipotokea anaacha hata sufuria ya ugali jikoni. Akirudi ugali umekuwa mkaa. Ee, Mola wetu, mwingi wa rehma umsikie mja wako, umjaaliye haja ya moyo wake. Amin.
 
Anatekeleza amri ya Rais! Anamuombea Rais
 
Katika siku zote leo umepost kitu cha maana sana nakuomba uendelee hvhv achana na post za kina kaoge anakula bata
 
Back
Top Bottom