Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,509
- 94,639
Ukiwa pembeni yangu nimekushika mkono😃huko motoni tutakuvalisha ka jenereta ka voltage 500 ili kawe kanakupiga shoti hata ikitokea moto wa jehanam umezima ghafla...😂
Ukiwa pembeni yangu nimekushika mkono😃huko motoni tutakuvalisha ka jenereta ka voltage 500 ili kawe kanakupiga shoti hata ikitokea moto wa jehanam umezima ghafla...😂
aku mi sihusiki kwa dhambi ipi kwanza...??!!!😀Ukiwa pembeni yangu nimekushika mkono😃
Imani ni shambulio la akiliUtangulizi
Miaka 12 iliyopita wakati nikiwa shuleni Niko kwenye sehemu ya chakula najiandaa Kwa ajili ya ibada ya jioni , Kwa mara ya Kwanza nilimskia Mungu akisema Nami wazi wazi kwakweli nilishangaa Sana, Mungu alisema Nami juu ya tukio ambalo liko mbele yangu.
Nakumbuka katika ibada hiyo ambayo ilikuwa ya jioni, tulikuwa na utaratibu wa kutoa zawadi Kwa wale ambao tunawaombea na Mimi nilikuwa nimeandaa zawadi Kwa Yule ambaye alikuwa ananiombea na Mungu alinikumbusha tabia yangu ambayo ilikuwa ni kukimbia kipindi kama hicho
Nakumbuka nikiwa mwaka wakwanza kuna Kaka alikuwa anafanya maombi Kwa ajili yangu na Ile siku ya kumaliza mwaka ulikuwa ni siku ya kupeana zawadi na kutambua wale ambao tulikuwa tunaombeana SASA Mimi si kwenda
Mungu alisema Nami na kuniambia kwamba muhusika hata kuja na kunitia Moyo Kwa kile ambacho kitatokea ili kikitokea nisishangae wala kuhudhunika
Mungu amekuwa anasema Nami mara Kwa mara Kwa kupitia Roho matakatifu wake, changamoto yetu wanadamu sio kusikiliza Mungu ni kutii kile Mungu anachosema
Mara nyingi Mungu amekuwa anasema Nami na mara nyingi atasema Nami hasa Kwa juu ya maamuzi ambayo ninataka kufanya ambayo yanaweza kupeleka kupata hasara
Mungu anasema wazi wazi lakini pia anasema kwakupitia ishara mbalimbali ndani yangu Kwa njia ya Roho mtakatifu
Umewai kujiuliza unakwenda dukani kununua kinywani Kwa ajili ya familia yako unaskia Mungu anasema nawe chukua kinywani flani unaskia mwili wako unakusemesha maelekezo ya mazoea unaachana cha Mungu unafanya cha kwako
Unashangaa kile kinywani mara kinaleta madhara Kwa mwenzako kumbe Mungu alisema nawe mapema kukusaidia usipate hasara
Kuna vitu vidogo unaweza kupuuzia lakini Mungu anasema nasi Kwa vitu vidogo Sana ambavyo usipotii unapunguza ushirika naye
Watu wengi wameshindwa kujua kwamba Mungu anasema nao na wamejikuta wanapata hasara , ulishawai kuskia MTU anasema niliskia moyoni mwangu nisiende mahali flani lakini sikufanya hivyo ndo maana Jambo ili limenipata
Kuna watu wamesemeshwa na Mungu mara Kwa mara lakini wameshindwa kutii na kukosa ushirika WA Mungu Kwa Roho mtakatifu
Biblia inasema unapompokea Yesu kuwa Bwana na Mokozi ya Maisha yako, Yesu Kristo na Mungu Wanaingia ndani yako Kwa Roho mtakatifu hivyo kumsikia Mungu anasema nawe ni haki yako
Ni itakuwa ajabu mama mjanzito asijui kwamba mtoto aliyoko tumboni mwake kama anacheza au laa
MTU akiwa ndani ya Kristo amekuwa kiumbe kipya yakale yamepita tazama yamekuwa mapya, unapookoka Una zaliwa Kwa mara ya pili kwa Roho wa Mungu hivyo ni haki yako kuskia sauti ya Baba
Ameen mtumishi..nitayazingatia na kuyaishi ulionishauri....nmekuwa na moyo mzito na ndo maana nkaona kinachofanya haya ni kwa sababu nmejitenga na uwepo wake ndo maana nataka kujipatanisha kupitia toba ili niwe mpya tenaMungu akubariki kwa uamuzi huo. Ila kwenye safari yako ya marejeo, ukitaka umwone Mungu, wala usilenge kwamba umrudie ili mambo yako yawe bora, material things kwa Mungu wetu ni sawa na kachumbari au pilipili ya kuweka kwenye chakula tu, yaani ni kitu cha ziada ila chakula halisi kipo. Bali utafuteni kwanza Ufalme wake na haki yake na mengine yote mtazidishiwa.
nakuomba, lenga kutakaswa roho yako na kukaa katika uwepo wa Mungu moyoni mwako, yaani Mungu akae ndani yako, akishafika tu, hayo mengine ni marupurupu tu atakupa hata yale usiyoyaomba kwasababu anajua tunayohitaji. sawa na mtoto anaomba umpe pipi kumbe wewe ulipanga umnunulie baiskeli, mtoto wako yupo shule anaomba umpe elfu kumbi wakati wewe unaona uhitaji wakeni zaidi na ulipanga umpe laki moja. Mungu akiwa ndani yako hayo mengine ni ziada tu na tutapata na kusaza.
uwepo wa Mungu utakujaje kwako? ni kwa kusoma sana Neno la Mungu, tenga muda wa kusoma sana, pili, kwa kufanya maombi na kama umebahatika kujazwa Roho Mtakatifu, maombi ya Roho na kushiriki ibada.