Mungu husema na Watu

Mungu husema na Watu

Kwahiyo mleta mada yeye aliongea waziwazi na Mungu yupi kati ya hao Miungu unaosema wapo wengi?

Au wewe ndio mleta mada umeamua kuja kivungine?
Mungu wake kupitia Roho mtakatifu aliyemsema

Kila mtu anaishi anavyoona sawa kama kitu kwako hukiamin kwa wenzako wanaamini haina haja wewe kukibeza

Katiba ya Tanzania inatoa uhuru wa kuabudu hata angesema anaongea na mawe nisingembishia ndo njia na maisha aliyochagua
 
Jibu swali,Mungu yupi? si umesema wapo miungu wengi?
 
Mbali na kusikia kupitia sauti ya Mungu kupitia sauti,

Mara nyingi nikifunua BIBLIA na kusoma, Huwa naisikia sauti yake direct kupitia NENO.

Amen
 
Kuna vitu ukivijua Maisha yako yanakua yanaandamwa na furaha sana, about 25 years back nilikua mtu mmoja mwenye furaha ya kutisha na kutosha zingatia neno 'kutosha', nahisi Ile furaha ya miaka Ile inaanza kuja na kurejea tena baada ya miaka zaidi ya 25 kupita sababu nimetambua kitu kilichopo ndani yangu kinasema na kuongea na Mimi kila wakati, huyo natambua ni Mimi halisi ni Mimi mwenyewe ni Mimi haswa ni Mimi yuleyule re-"member"-ing the inner true me from way back,
 
Unajisikia au unaisikia?

Hivi ushawahi fumba macho ukaanza kufanya body scan kwenye hali ya utulivu? Ushawahi fanya hivyo? Ulihisi nini na uliona nini?
 
Utangulizi

Miaka 12 iliyopita wakati nikiwa shuleni Niko kwenye sehemu ya chakula najiandaa Kwa ajili ya ibada ya jioni , Kwa mara ya Kwanza nilimskia Mungu akisema Nami wazi wazi kwakweli nilishangaa Sana, Mungu alisema Nami juu ya tukio ambalo liko mbele yangu.

Nakumbuka katika ibada hiyo ambayo ilikuwa ya jioni, tulikuwa na utaratibu wa kutoa zawadi Kwa wale ambao tunawaombea na Mimi nilikuwa nimeandaa zawadi Kwa Yule ambaye alikuwa ananiombea na Mungu alinikumbusha tabia yangu ambayo ilikuwa ni kukimbia kipindi kama hicho

Nakumbuka nikiwa mwaka wakwanza kuna Kaka alikuwa anafanya maombi Kwa ajili yangu na Ile siku ya kumaliza mwaka ulikuwa ni siku ya kupeana zawadi na kutambua wale ambao tulikuwa tunaombeana SASA Mimi si kwenda

Mungu alisema Nami na kuniambia kwamba muhusika hata kuja na kunitia Moyo Kwa kile ambacho kitatokea ili kikitokea nisishangae wala kuhudhunika

Mungu amekuwa anasema Nami mara Kwa mara Kwa kupitia Roho matakatifu wake, changamoto yetu wanadamu sio kusikiliza Mungu ni kutii kile Mungu anachosema

Mara nyingi Mungu amekuwa anasema Nami na mara nyingi atasema Nami hasa Kwa juu ya maamuzi ambayo ninataka kufanya ambayo yanaweza kupeleka kupata hasara

Mungu anasema wazi wazi lakini pia anasema kwakupitia ishara mbalimbali ndani yangu Kwa njia ya Roho mtakatifu

Umewai kujiuliza unakwenda dukani kununua kinywani Kwa ajili ya familia yako unaskia Mungu anasema nawe chukua kinywani flani unaskia mwili wako unakusemesha maelekezo ya mazoea unaachana cha Mungu unafanya cha kwako

Unashangaa kile kinywani mara kinaleta madhara Kwa mwenzako kumbe Mungu alisema nawe mapema kukusaidia usipate hasara

Kuna vitu vidogo unaweza kupuuzia lakini Mungu anasema nasi Kwa vitu vidogo Sana ambavyo usipotii unapunguza ushirika naye

Watu wengi wameshindwa kujua kwamba Mungu anasema nao na wamejikuta wanapata hasara , ulishawai kuskia MTU anasema niliskia moyoni mwangu nisiende mahali flani lakini sikufanya hivyo ndo maana Jambo ili limenipata

Kuna watu wamesemeshwa na Mungu mara Kwa mara lakini wameshindwa kutii na kukosa ushirika WA Mungu Kwa Roho mtakatifu

Biblia inasema unapompokea Yesu kuwa Bwana na Mokozi ya Maisha yako, Yesu Kristo na Mungu Wanaingia ndani yako Kwa Roho mtakatifu hivyo kumsikia Mungu anasema nawe ni haki yako

Ni itakuwa ajabu mama mjanzito asijui kwamba mtoto aliyoko tumboni mwake kama anacheza au laa

MTU akiwa ndani ya Kristo amekuwa kiumbe kipya yakale yamepita tazama yamekuwa mapya, unapookoka Una zaliwa Kwa mara ya pili kwa Roho wa Mungu hivyo ni haki yako kuskia sauti ya Baba
Mungu akubariki sana kwa ushuhuda mzuri. Binafsi pia Mungu ameongea nami kwa namna mbalimbali nyingi mno, kuna siku nitafundisha hapa kwa ushuhuda wa maisha yangu kuhusu kusikia sauti ya Muntu, sauti ya ndani rohoni mara nyingi mno, kwenye ndoto kila kitu kibaya kinachokuja mbele yangu huwa naonyeshwa kabla na najiandaa nikipuuzia huwa nakutana nacho na napata shida kwelikweli, kuna namna nyingi nitakuja kueleza namna Mungu alivyoongea nami. Ukiona umebarikiwa kuwa na uhusiano wa karibu na Mungu hadi anaongea na wewe kwa namna mbalimbali, shikilia hapohapo.
 
Kuna vitu ukivijua Maisha yako yanakua yanaandamwa na furaha sana, about 25 years back nilikua mtu mmoja mwenye furaha ya kutisha na kutosha zingatia neno 'kutosha', nahisi Ile furaha ya miaka Ile inaanza kuja na kurejea tena baada ya miaka zaidi ya 25 kupita sababu nimetambua kitu kilichopo ndani yangu kinasema na kuongea na Mimi kila wakati, huyo natambua ni Mimi halisi ni Mimi mwenyewe ni Mimi haswa ni Mimi yuleyule re-"member"-ing the inner true me from way back,
hiyo furaha ya binafsi yako hiyo kuna siku utakuja kuiona ni takataka kabisa ukijazwa Roho Mtakatifu, hakika utajisikia raha ya ajabu, moyo wenye furaha, imani kuu, Nguvu za Mungu, uhakika wa maisha, uhakika wa uzima haielezeki, its beyond description.
 
Ukiongea na Mungu utakua ushakufa, huyo ni wewe alie ndani yako nazungumzia Roho, anaitwa 'spirit guide' wewe una timu ya Malaika na Mungu yupo pamoja nawe km Muumba wako, Ila anaeku-guide na kukuongoza hichi fanya na hichi usifanye ni 'spirit guide' namaanisha ni Roho, anakuongoza uweze kutofautisha kati ya nini unahitaji na nini unataka, yeye ndio anakuongoza pita huku na huku usipite au pita hivi kata hapa usikae pale kaa pale kule usiende nenda kule ondoka hapo usiondoke saa 2 ondoka saa 7 hizo zote anakulinda na kukuongoza kuelekea kumfikia huyo Mungu ambae ni muumba wako
Ndugu yangu, tunaongea na Mungu hivi hivi tukiwa hai, kabisa kabisa. Mungu huwa anaongea na watu, anaamua tu aina ya communication ipi atumie, wengine wanasikia sauti kabisa kama mimi na wewe tunapoongea na kujibizana kabisa, Mungu ni halisi, sio story. wengine Mungu anaongea nao kwa ndoto, wengine kwa sauti ya ndani, wengine kwa Neno la Mungu unasoma Biblia halafu mistari yote unaona ya kawaida ila upo mmoja tu ambao unachoma na kuongea na wewe na unajua kwamba ni Mungu anaongea, wengine Mungu anaongea nao kwa maono ya waziwazi au ya usingizini n.k,

wengine Mungu anawatumia malaika waje kukuambia wakiwa wamevaa aidha mwili wa mwanadamu au wakiwa vilevile kama malaika walivyo. Samweli alisikia sauti ya Mungu kabisa ikimuita, Yesu aliposhuka kubatizwa sauti ilitoka mbinguni ikisema Huyo ndiye mwanangu mpendwa msikieni yeye na wote waliokuwepo walisikia ile sauti, Yesu alipopanda mlimani na Petro yohana na yakobo kuomba akabadilika sura ikawa inamng'aa Musa na Eliya wakashuka kumhudumia sauti ilitoka na wanafunzi hao walisikia kabisa,

Petro alipokuwa gerezani malaika alienda kumtoa gerezani akamwambia aelekee wapi hadi nje, mambo mengi mengi. mimi binafsi Mungu ameongea na mimi mara nyingi sana hadi huwa naogopa.

Juzi wakati natype hapahapa JF Mungu aliongea nami kwa sauti ya ndani kwamba "MUNGU ANAPENDA SANA KUWA NA UHUSIANO WA KARIBU NA WANADAMU", yaani kama uhusiano wa baba na mtoto, umwabudu, umsifu, umheshimu, umsikilize, umuombe mahitaji mbalimbali n.k, Mungu anapenda hivyo, ameongea na mimi. sijui nikuelezeje?
 
Tafadhari waone Wataalamu Wa Magonjwa ya Akili haraka...!

Kuna Kitu Wanakiita 'Hallucinations'...

Unaweza Kuona au kusikia vitu ambavyo havipo.....!

Wakikuona jinsi ulivyo halafu wakapata historia ya yanayokusibu,bila shaka Watapata ugonjwa wako,niamini Mimi Watakuanzishia dawa..!
Shetani oyeeeee
 
anaamua tu aina ya communication ipi atumie,
That's the communication between mind (brain) and heart (soul), hayo ni mawasiliano baina ya Nafsi na Roho, like what do you feel? What do you experience? The eyes, after all, are the mirrors of the soul,
 
Huu mwaka nmechelewa sanaa....ila kuanzia mwez huu nimeamua kufanya Toba na kumrudia Mungu kwani nmejiona kama nmejiweka mbali nae...Kuna mambo yangu naona kabisa hayaendi kwa sababu ya kutokumshirikisha Mungu....hakika naona atanionekania na kunifanya kuwa mpya
 
Umefunga na kusaidia wenye uhitaji?
 
Utangulizi

Miaka 12 iliyopita wakati nikiwa shuleni Niko kwenye sehemu ya chakula najiandaa Kwa ajili ya ibada ya jioni , Kwa mara ya Kwanza nilimskia Mungu akisema Nami wazi wazi kwakweli nilishangaa Sana, Mungu alisema Nami juu ya tukio ambalo liko mbele yangu.

Nakumbuka katika ibada hiyo ambayo ilikuwa ya jioni, tulikuwa na utaratibu wa kutoa zawadi Kwa wale ambao tunawaombea na Mimi nilikuwa nimeandaa zawadi Kwa Yule ambaye alikuwa ananiombea na Mungu alinikumbusha tabia yangu ambayo ilikuwa ni kukimbia kipindi kama hicho

Nakumbuka nikiwa mwaka wakwanza kuna Kaka alikuwa anafanya maombi Kwa ajili yangu na Ile siku ya kumaliza mwaka ulikuwa ni siku ya kupeana zawadi na kutambua wale ambao tulikuwa tunaombeana SASA Mimi si kwenda

Mungu alisema Nami na kuniambia kwamba muhusika hata kuja na kunitia Moyo Kwa kile ambacho kitatokea ili kikitokea nisishangae wala kuhudhunika

Mungu amekuwa anasema Nami mara Kwa mara Kwa kupitia Roho matakatifu wake, changamoto yetu wanadamu sio kusikiliza Mungu ni kutii kile Mungu anachosema

Mara nyingi Mungu amekuwa anasema Nami na mara nyingi atasema Nami hasa Kwa juu ya maamuzi ambayo ninataka kufanya ambayo yanaweza kupeleka kupata hasara

Mungu anasema wazi wazi lakini pia anasema kwakupitia ishara mbalimbali ndani yangu Kwa njia ya Roho mtakatifu

Umewai kujiuliza unakwenda dukani kununua kinywani Kwa ajili ya familia yako unaskia Mungu anasema nawe chukua kinywani flani unaskia mwili wako unakusemesha maelekezo ya mazoea unaachana cha Mungu unafanya cha kwako

Unashangaa kile kinywani mara kinaleta madhara Kwa mwenzako kumbe Mungu alisema nawe mapema kukusaidia usipate hasara

Kuna vitu vidogo unaweza kupuuzia lakini Mungu anasema nasi Kwa vitu vidogo Sana ambavyo usipotii unapunguza ushirika naye

Watu wengi wameshindwa kujua kwamba Mungu anasema nao na wamejikuta wanapata hasara , ulishawai kuskia MTU anasema niliskia moyoni mwangu nisiende mahali flani lakini sikufanya hivyo ndo maana Jambo ili limenipata

Kuna watu wamesemeshwa na Mungu mara Kwa mara lakini wameshindwa kutii na kukosa ushirika WA Mungu Kwa Roho mtakatifu

Biblia inasema unapompokea Yesu kuwa Bwana na Mokozi ya Maisha yako, Yesu Kristo na Mungu Wanaingia ndani yako Kwa Roho mtakatifu hivyo kumsikia Mungu anasema nawe ni haki yako

Ni itakuwa ajabu mama mjanzito asijui kwamba mtoto aliyoko tumboni mwake kama anacheza au laa

MTU akiwa ndani ya Kristo amekuwa kiumbe kipya yakale yamepita tazama yamekuwa mapya, unapookoka Una zaliwa Kwa mara ya pili kwa Roho wa Mungu hivyo ni haki yako kuskia sauti ya Baba
Mmmhhh
 
Back
Top Bottom