Official nyox
Senior Member
- Jan 29, 2024
- 132
- 278
Ameen mkuu..Sawa sawa mkuu basi endelea kufanya hivyo hivyo
Ameen mkuu..Sawa sawa mkuu basi endelea kufanya hivyo hivyo
Yaan ongeza zaidi na zaidi usisahau kusaidia wenye uhitaji mkono unaotoa ndio unaopokeaAmeen mkuu..
Aah naamini kutoa kwa wahitaji litakuwa Bora zaidi...na ndo sehem nliyolengaYaan ongeza zaidi na zaidi usisahau kusaidia wenye uhitaji mkono unaotoa ndio unaopokea
Nb: sijakwambia mkono unaotoa kwa Nabii wa Mchongo,
Ewaaa saidia wenye uhitaji Nafsi zao zikisuhuzika nawe una barikiwa,Aah naamini kutoa kwa wahitaji litakuwa Bora zaidi...na ndo sehem nliyolenga
Ameen mkuu...kuna orphanage centre IPO jirani hapa...itabid niitembelee hata kwa kutoa kidogo nilichonachoEwaaa saidia wenye uhitaji Nafsi zao zikisuhuzika nawe una barikiwa,
Ameeen na utaongezewa pale ulipopunguza, wakati wa Toba na kusaidia wenye uhitaji huu TOA kwa wenye uhitaji ubarikiwe, wakisema 'Asante' na kufurahia ulichowapatia wewe tayari ushapokea Baraka hadi hapoAmeen mkuu...kuna orphanage centre IPO jirani hapa...itabid niitembelee hata kwa kutoa kidogo nilichonacho
Amen...nmedhamiria kabisa mkuu ...Kuna vitu unafanya unaona haviend kumbe vimekosa baraka kutoka kwa Mungu....nitajitahid sanaa kufanya Toba na kujipatanisha na MunguAmeeen na utaongezewa pale ulipopunguza, wakati wa Toba na kusaidia wenye uhitaji huu TOA kwa wenye uhitaji ubarikiwe, wakisema 'Asante' na kufurahia ulichowapatia wewe tayari ushapokea Baraka hadi hapo
Amen na ikawe hivyoAmen...nmedhamiria kabisa mkuu ...Kuna vitu unafanya unaona haviend kumbe vimekosa baraka kutoka kwa Mungu....nitajitahid sanaa kufanya Toba na kujipatanisha na Mungu
Hamna wala stumii 🤣🤣🤣Unapenda sana bangi wewe?
Mungu anakuonaHamna wala stumii 🤣🤣🤣
AmenWalokole mna ujinga mwingi sn
Hata wavuta bangi upata hallucinationsTafadhari waone Wataalamu Wa Magonjwa ya Akili haraka...!
Kuna Kitu Wanakiita 'Hallucinations'...
Unaweza Kuona au kusikia vitu ambavyo havipo.....!
Wakikuona jinsi ulivyo halafu wakapata historia ya yanayokusibu,bila shaka Watapata ugonjwa wako,niamini Mimi Watakuanzishia dawa..!

DuuuuhHata wavuta bangi upata hallucinations
Kwaiyo Mtoa mada asijione special Sana![]()
huko motoni tutakuvalisha ka jenereta ka voltage 500 ili kawe kanakupiga shoti hata ikitokea moto wa jehanam umezima ghafla...😂Urongoo
Wewe kistobe? Nikupake mafutaMpwayungu village hajapita huku?
Ndioo mkuu! njoo upake uboo ukalieWewe kistobe? Nikupake mafuta
Mungu akubariki kwa uamuzi huo. Ila kwenye safari yako ya marejeo, ukitaka umwone Mungu, wala usilenge kwamba umrudie ili mambo yako yawe bora, material things kwa Mungu wetu ni sawa na kachumbari au pilipili ya kuweka kwenye chakula tu, yaani ni kitu cha ziada ila chakula halisi kipo. Bali utafuteni kwanza Ufalme wake na haki yake na mengine yote mtazidishiwa.Huu mwaka nmechelewa sanaa....ila kuanzia mwez huu nimeamua kufanya Toba na kumrudia Mungu kwani nmejiona kama nmejiweka mbali nae...Kuna mambo yangu naona kabisa hayaendi kwa sababu ya kutokumshirikisha Mungu....hakika naona atanionekania na kunifanya kuwa mpya
sisi wenzio tunatumia Neno la Mungu, upo ushahidi wa Neno la Mungu kua Mungu ameongea na watu, pia hata sisi wenyewe tulishawahi kuongea na Mungu, tunajua nini ni mawasiliano ya brain na soul yako tu, na tunajua nini ni mawasiliano ya Mungu. hayo ya Mungu ni halisi, na yale yasiyo ya Mungu ni halisi pia, vimejitofautisha na yule mwenye Mungu moyoni analijua hili. wale wasio na Mungu hawawezi kabisa kujua tunaongea nini hapa.That's the communication between mind (brain) and heart (soul), hayo ni mawasiliano baina ya Nafsi na Roho, like what do you feel? What do you experience? The eyes, after all, are the mirrors of the soul,