Mungu Huokoa na pia Huadhibu

Mungu Huokoa na pia Huadhibu

john achila mukumwa

Senior Member
Joined
Jan 4, 2024
Posts
137
Reaction score
273
Mungu Huokoa na pia Huadhibu
Mfano wa Mungu alivyookoa Waisraeli kule Misri

Waisraeli walikwenda Misri kupata chakula, kutokana na njaa iliyokuwa kubwa nchini mwao. Wakakaa kwa amani kwa miaka 30. Walipoongezeka na kuwa wengi, Farao wa Misri wakawatesa kama watumwa kwa miaka 400. Jumla, walikaa Misri kwa miaka 430.
Baada ya kuona mateso ya Waisraeli, Mungu aliamua kuwaokoa kutoka kwenye utumwa na kuwapeleka kwenye nchi ya ahadi, Kanaan.

Waisraeli wawa na shingo ngumu safarini
Licha ya kuokolewa kwa uweza wake mkubwa, na kuona ishara za wazi na ushuhuda mwingi kuhusu uwezo wa Mungu, wakiwa njiani kwenda Kanaan, Waisraeli walikuwa na manung'uniko, malalamiko na ukosefu wa imani kwa Mungu. Kwa ujumla, walikuwa na shingo ngumu.

Simulizi au muktadha wake

Kitabu cha Yuda 1:5 kinasema: “Tena napenda kuwakumbusha, ijapokuwa mmekwisha kujua haya yote, ya kwamba Bwana, akiisha kuwaokoa watu katika nchi ya Misri, aliwaangamiza baadaye wale wasioamini”.
Maandiko hayo yanatufundisha kuwa kuokolewa siyo mwisho wa safari.
Ni kweli kuwa wana wa Israeli waliokolewa kutoka Misri, jeshi lote. Hata hivyo, kati ya watu 603,550 waliotoka Misri, siyo wote waliingia nchi ya ahadi ya Kanaan (Hesabu 1:46). Idadi hiyo ni ya wanaume tu; haijumuishi watoto wasiozidi miaka 20, wala wanawake, wala Walawi. NI WATU WAWILI TU, AMBAO NI YOSHUA NA KALEBU, NA WATOTO WALIOZALIWA NJIANI JANGWANI, WAKIWA SAFARINI, NDIO WALIINGIA KANAAN. Lakini wengine wote, MUNGU aliwaangamiza jangwani, japokuwa aliwaokoa na kuwatoa Misri.
Hata leo wanaookolewa ni WENGI. Wanaomkiri YESU ni wengi. Lakini pia, ni wengi wanaoangamizwa na Bwana, kwa sababu ya kutotembea na Mungu katika wokovu wao walioupata.
Wengi wa wana wa Israeli walijaa viburi; (kwa mfano Dathani na Kora: Hesabu 16:1-50). Na wengine walijaa mioyoni mwao manung’uniko na ibada za sanamu, na wengine walikuwa ni watu wa kumjaribu Mungu mara kwa mara. Ingawa wote walikuwa wameokoka na utumwa wa Farao kule nchini Misri, lakini kwa bahati mbaya hawakuiona ile nchi ya ahadi.
Waliokolewa, lakini baadaye WALIANGAMIZWA. Walifunguliwa, lakini baadaye WALIANGAMIZWA. Waliponywa, lakini baadaye WALIANGAMIZWA.

Jambo la kuhuzinisha zaidi ni kwamba, waliangamizwa jangwani wakiwa bado wanakula mana (baraka za mbinguni). Vile vile waliangamizwa wakiwa chini ya WINGU NA NGUZO YA MOTO, vilivyokuwa vinawaongoza kwenye safari. Na zaidi ya yote, walikuwa wameshabatizwa katika roho katika bahari ya Shamu (1Wakorintho 10:1-2).

Mambo haya yanabaki kuwa funzo na onyo kwetu, ili tusifanye makosa kama hayo, kama maandiko yasemavyo:
1Wakorintho 10:1 “Kwa maana, ndugu zangu, sipendi mkose kufahamu ya kuwa baba zetu walikuwa wote chini ya wingu; wote wakapita kati ya bahari; 2 wote wakabatizwa wawe wa Musa katika wingu na katika bahari; 3 wote wakala chakula kile kile cha roho;
4 wote wakanywa kinywaji kile kile cha roho; kwa maana waliunywea mwamba wa roho uliowafuata; na mwamba ule ulikuwa ni Kristo. 5 Lakini wengi sana katika wao, Mungu hakupendezwa nao; maana waliangamizwa jangwani. 6 Basi mambo hayo yalikuwa mifano kwetu, kusudi sisi tusiwe watu wa kutamani mabaya, kama wale nao walivyotamani.
7 Wala msiwe waabudu sanamu, kama wengine wao walivyokuwa; kama ilivyoandikwa, watu waliketi kula na kunywa, kisha wakasimama wacheze.
8 Wala msifanye uasherati, kama wengine wao walivyofanya, wakauawa siku moja watu ishirini na tatu elfu (Hesabu 25:1-9).
9 Wala tusimjaribu Bwana, kama wengine wao walivyomjaribu, wakaharibiwa na nyoka.
10 Wala msinung’unike, kama wengine wao walivyonung’unika, wakaharibiwa na mharabu.
11 Basi mambo hayo yaliwapata wao kwa jinsi ya mifano, yakaandikwa ili kutuonya sisi, tuliofikiliwa na miisho ya zamani.
12 Kwa hiyo anayejidhania kuwa amesimama na aangalie asianguke”.

Je, unajivunia ubatizo? Unajivunia dhehebu? Unajivunia karama uliyo nayo? Unajivunia upako? Vyote hivyo wana wa Israeli walikuwa navyo, lakini wengi wao waliangamizwa.

Maandiko ya hapo juu, yanatufundisha kuwa kuokolewa/kuokoka siyo mwisho wa safari
.

Nini kifanyike baada ya kuokolewa au kuokoka
Kwa kuzingatia mfano mmoja wa jinsi Mungu alivyookoa Waisraeli kutoka Misri, na kisha akawaangamiza baadaye, ni muhimu tutembee na Mungu kwa kufanya yafuatayo:
1. Utakase Ukristo wako
2. Kaa mbali na dhambi
3. Usimjaribu Mungu
4. Usiabudu sanamu baada ya kuokoka
5. Jitenge na uasherati
6. Jitenge na mambo ya ulimwengu kwa ujumla

TEMBEA NA MUNGU KAMA YOSHUA NA KALEBU WALIVYOFANYA KATIKA SAFARI NGUMU KUTOKA MISRI HADI KANAAN, KWENYE MAZIWA NA ASALI. TUFANYE HIVYO PIA KATIKA SAFARI YETU HAPA DUNIANI KUELEKEA MBINGUNI, KWENYE RAHA YA MILELE.

Bwana atusaidie wote katika kutekeleza hayo.
 
Mbona sisi hajaja kutuokoa Tanzania?
 
Mimi namwamini Mwenyezi Mungu, pamoja na hayo Kazi na miujiza ya Mungu imebaki tu kama masimulizi au Hadithi tu za kwenye vitabu.

Ni kwanini lei kazi zake zaziwezi kuthibitishwa au kuonekana?

Sisi wakristo tumeishia tu kusimuliana yaliyoandikwa.

Hapa Tanzania Dola inatutesa sana, tumeomba sana, tumefunga sana. Zaidi ya yote watu waovu ndio wanazidi kupata madaraka, wanazidi kuneemeka na kutajirika.

Je Nguvu ya Mungu iko wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom