Mungu ndio aliwatuma mumuue mjawakeMtatoa mifano yote lakini hamtoboi ng'ooo "every one for him/her self but God for everybody.
Wakikuambia toa ushahidi unaweza ukautoa?Mungu ndio aliwatuma mumuue mjawake
Waileze dunia kamera zilienda wapi baada ya lile saga lakini pia Nani anaweza kuwaamrisha polisi wasiende kulinda bank crdb nmb halafu jioni bank inaibiwa kwaakili ndogo umfikiria nani kama first suspect.Wakikuambia toa ushahidi unaweza ukautoa?
Huwezi kushindana na Mungu ukashinda. Damu za wa Tanzania waliouwawa kwa mateso, risasi, kutekwa, kutiwa kwenye voroba na kutoswa baharini zinalia Mbele ya Kiti cha Enzi cha Mungu.Mtatoa mifano yote lakini hamtoboi ng'ooo "every one for him/her self but God for everybody.
Amini nakuambia, misheni yote ya jaribio la udhalimu na kujaribu kumuua Tundu Lissu litakuwa wazi muda sio mrefu. Mbegu ya ukweli hata uifiche na kuitupa mbali ipo siku itaota na itamea na watu watajuaWakikuambia toa ushahidi unaweza ukautoa?
Hayo yote unayaongea ukiwa barabarani unadunda masaa yote kwa amani ata ukitaka adi saa nane za usiku kisa tuu ni mahaba yakutaka kuona mabadiliko ya uongozi,Huwezi kushindana na Mungu ukashinda. Damu za wa Tanzania waliouwawa kwa mateso, risasi, kutekwa, kutiwa kwenye voroba na kutoswa baharini zinalia Mbele ya Kiti cha Enzi cha Mungu...
Ni vizuri kama mmesha mpata muuaji maana dereva alikuwa amefichwa sasa labda kaja nao wauwaji wa lissu.Amini nakuambia, misheni yote ya jaribio la udhalimu na kujaribu kumuua Tundu Lissu litakuwa wazi muda sio mrefu. Mbegu ya ukweli hata uifiche na kuitupa mbali ipo siku itaota na itamea na watu watajua
Ushahidi wa kimazingira unaonyesha pasi na shaka yoyote kua ni wao walitaka kumuua.Wakikuambia toa ushahidi unaweza ukautoa?
Wanaishabikia ccm ni watu wajinga ama wenye roho mbaya na ulafi wa madaraka.Wakikuambia toa ushahidi unaweza ukautoa?
Wanakaribisha laana kwenye familia zaoWanaishabikia ccm ni watu wajinga ama wenye roho mbaya na ulafi wa madaraka.
Huo ndo ujinga wako wakufananisha ushabiki wa mpira na wa kisiasa ambao una maslahi makubwa kwenye maisha yako.ata kama chama kinakupotosha unajiona mwenye akili kumbe huku tunakuchora nakukuona fala tuu na mental disturbed.Wanaishabikia ccm ni watu wajinga ama wenye roho mbaya na ulafi wa madaraka.
Haiingii akilini kumchagua Gwajima mtu wa hovyo mwenye matusi, dharau, mhuni, na mwenye kuhamasisha ukabila nchini. Ni mpumbavu tu ndio atamchagua huyu askofu wa wajinga.Huo ndo ujinga wako wakufananisha ushabiki wa mpira na wa kisiasa ambao una maslahi makubwa kwenye maisha yako.ata kama chama kinakupotosha unajiona mwenye akili kumbe huku tunakuchora nakukuona fala tuu na mental disturbed.