Mungu hana sifa tatu, tu!

Mungu hana sifa tatu, tu!

Longo longo unaleta wewe sio mimi,mie nimeuliza upendo ni nini? ni kutumia ujuzi na uwezo?
Upendo ni kujali.

Unapojali, huwezi kuacha unaowajali waumie kwa kitu ambacho unaweza kuzuia kisiwaumize.

Mungu ambaye anaweza kuumba ulimwengu ambao hauna tsunami, halafu akaumba ulimwengu ambao una tsunami. Hana upendo wote. In fact wengine wanaweza kusema hana upendo wowote.

Angekuwa na upendo angejali viumbe wake kiasi cha kuwaondilea kero ya tsunami.

Kwa nini huyo Mungu wako karuhusu mabaya na tsunami yawezekane kuwapo?

Hujanijibu swali hili.
 
[QUOTE="0.5nic, post: 29032118,

Watu wengi wanapenda kuona Mungu anaadhibu wakosaji, halafu wanasahau kwamba wao wenyewe ni miongoni mwa hao wakosaji. Kwa hiyo, ijapokuwa ni kweli kwamba Mungu ana upendo wote, lakini pia ana huruma yote. Hivi anaweza kumwonea huruma yule anayetenda kosa kama vile anavyomwonea huruma yule anayetendewa. Kisha anataja siku ambayo mambo hayo yote yatakomeshwa, Siku ya Hukumu. Tufanye juhudi kujiandaa kwa ajili ya siku hiyo.[/QUOTE]

Kwa iyo Kama kuna siku ya hukumu ni kwa nini watu wanakufa aidha kwa nja, mafuriko majanga ya asili, vita nk
Kwa nn hao watu wasiishi ili kusubiria hukumu Yao
Mashariki ya Kati raia wanakufa, wakina mama na watoto ambao wengi wao hawawez kutetea uhai wao
Je mapenzi ya Mungu hayo??
Huyo Mungu atakaetoa hukumu kwenye siku ambayo haijulikani alafu anawaacha wanyonge wanakufa it's ridiculous
 
Upendo ni kujali.

Unapojali, huwezi kuacha unaowajali waumie kwa kitu ambacho unaweza kuzuia kisiwaumize.

Mungu ambaye anaweza kuumba ulimwengu ambao hauna tsunami, halafu akaumba ulimwengu ambao una tsunami. Hana upendo wote. In fact wengine wanaweza kusema hana upendo wowote.

Angekuwa na upendo angejali viumbe wake kiasi cha kuwaondilea kero ya tsunami.

Kwa nini huyo Mungu wako karuhusu mabaya na tsunami yawezekane kuwapo?

Hujanijibu swali hili.
Kwahiyo mzazi anayemuumiza mwanae kwa kumchapa tafsiri yake hana upendo?(hamjali ndio maana anamsababishia mwanae maumivu kwa kumchapa).

"Angekuwa na upendo angejali....."
 
Kwahiyo mzazi anayemuumiza mwanae kwa kumchapa tafsiri yake hana upendo?(hamjali ndio maana anamsababishia mwanae maumivu kwa kumchapa).

"Angekuwa na upendo angejali....."
Mzazi huyo ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote?

Are you revealing your narrowmindedness by forgetting context and framework?

Unataka kumfananisha Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote na mzazi asiye na uwezo wote, ujuzi wote wala upendo wote?

Are you making a fair comparison?

Do you know the rules of comparison?

Are you reducing your God to mzazi?
 
Mimi nazungutumia upendo kama upendo na ndiyo maana mwanzo kabisa nilikuuliza upendo ni kutumia ujuzi na uwezo? Sasa hayo ya kumlinganisha mzazi na Mungu unayaleta wewe kwa sababu mimi sizungumzii uwezo wote wala ujuzi wote hapa bali upendo ambao umesema upendo ni kujali.

Au unataka kusema kwamba ili mzazi asimchape mwanae anahitaji awe na uwezo wote na ujuzi wote?
 
Ya kumlinganisha mzazi na Mungu nimeyaleta mimi?

Umeanza wewe na unayaendeleza mpaka sasa.

Mzazi mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote atakuwa na sababu gani ya kumchapa mwanawe?
 
Sielewi kitu kimoja kutoka kwako,mbona kama kuna imaginations ambazobunajiwekea kwamba ‘ilitakiwa kua hivi’ ndio unazilazimisha kua?

Mungu alishindwa kuumba ulimwengu usio na tsunami kwani ndio lilikua lengo lake hilo?

Au lengo lake lilikua aumbe bila kuwepo mabaya?naomba unijubu hayo maswali kwanza kisha tuendelee
Narudia tena nijubu maswali kwanza ndio tuendelee.
Unaelewa "logical consistency" ni nini?
 
Ya kumlinganisha mzazi na Mungu nimeyaleta mimi?

Umeanza wewe na unayaendeleza mpaka sasa.

Mzazi mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote atakuwa na sababu gani ya kumchapa mwanawe?
Habari za uwezo wote na ujuzi wote unazileta wewe hali ya kuwa nilishakuuliza kama upendo ni kutumia ujuzi na uwezo?ukajibu upendo ni kujali.

Sasa hapa tunajadili huo upendo ila wewe unaleta habari za uwezo wote na ujuzi wote! Sasa unanifanya nishindwe hata kuelewa huo upendo hasa ni nini?

Nimekuuliza kwani mzazi mwenye upendo anahitaji kuwa na uwezo wote ili tu ndio asimpige mwanae?
 
Mungu wako hana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote?
 
Vyote anavyo hivyo na ndio tumeanza kuchambua kuhusu upendo ila unakwamisha.
Kama anavyo vyote hivyo, uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote, kwa nini karuhusu ulimwengu wenye tsunami uweze kuwepo wakati aliweza kuumba ulimwengu ambao tsunami haliwezi kuwepo?

Hujajibu swali hili.
 
Yani tulikuwa tunajadili kuhusu upendo ili niweze kujua upendo hasa ni nini maana ndio wa hilo swali unalotaka nikujibu..ila cha ajabu unakwepa kujadili kuhusu huo upendo ila unataka nikujibu tu swali lako lenye kuhusu upendo!

Sasa kama unashindwa hata kuelezea huo upendo hasa ni nini iweje unakimbilia kujenga hoja kwa kutumia neno upendo?

Hadi sasa bado sijaelewa upendo ni nini maana naona unalazimisha kuchanganya uwezo wote na ujuzi wote kwenye upendo.

Tatizo huna uhuru wa kufikiri ulichokariri ndio hicho hicho.
 
Unaelewa "logical consistency" ni nini?
Hapana nieleweshe,
Na pia unijibu nilichouliza,nilikazia kua ujibu kwanza maana mara nyingi hua haujibu unachoulizwa
Straight kama nilivyokujibu ulichouliza,na wewe unapaswa kujibu very straight haina haja ya kuzunguka sana na hio ndio njia ya kijadili kirahisi...mimi sifahamu logical consistency nimekujibu na wewe rudi juu kwenye maswali yangu uyajibu direct kisha tuendelee..haina haja ya kucomplicate vitu kwenye maswali marahisi kama haya maana mada hii ni ngumi na ndefu tusijikute tunaishia sehemu moja tu
 
Wakuu!
Nimeanzisha uzi huu kujaribu kutoa utetezi kinyume na hoja inayopinga uwepo wa Mungu kwa hoja kwamba ulimwengu huu unathibitisha kwamba 'Mungu mwenye upendo wote, uwezo wote na ujuzi wote' hayupo. Kwa wasiofahamu sana hoja hii ni maarufu pengine kuliko hoja zote zinazopinga uwepo wa Mungu, hivi kwamba imekuwa ikikimbiliwa na wengi wasioamini uwepo wa Mungu kama hoja yao ya msingi.

Kwa utambulisho mfupi mimi ninaamini kwamba Mungu yupo, na kwamba pia ninaamini Ukristo ndiyo dini ya kweli pekee. Haya nimeyatamka ili iwe rahisi kuelewa mtazamo wangu kuhusu hili swala, lakini nisingependa iwe msingi wa mjadala, natamani tujadili kulingana na kichwa cha uzi huu.

Ninataka kukiri kwamba ikiwa tunaoamini uwepo wa Mungu tutalazimishwa kuelezea mambo yote yanayotokea katika ulimwengu huu kwa kutumia sifa tatu tu za Mungu (Upendo, Uwezo na Ujuzi) tutababaika kujibu; tutaweza kutoa majibu kwa baadhi ya mambo, lakini si yote. Yamkini hili limejionesha mara kadhaa watu wanapoulizwa hilo swali.

Lakini hoja yangu ni kuwa tatizo liko kwenye swali lenyewe na si kwa wanaojibu. Ikiwa tutataka kujiburudisha tu kwa mdahalo, tunaweza kuweka swali la Mungu mwenye sifa tatu tu lielezee ulimwengu halisi tunaoishi. Lakini ikiwa tutataka kudadisi kwa undani uwepo wa Mungu aliyeuumba na anayeuongoza ulimwengu huu, lazima tutumie mjumuisho wa sifa zake zote (Mungu halisi) kuelezea mjumuisho wa mambo yote ya ulimwengu huu (ulimwengu halisi)

Mungu halisi ana sifa nyingi mbalimbali, na hizi zote zinahusika wakati wowote anapojihusisha na ulimwengu. Baadhi ni hizi Upendo, Uwezo, Ujuzi, Wema, Utakatifu, Utukufu, Hekima, Wivu, Haki, Mamlaka, Uamuzi Binafsi, Uwepo mahali pote, Maarifa na kadhalika.

Mfano: Tukitaka kujiuliza kwa nini Mungu ameumba jua na kuliweka umbali huo alioliweka, na kulazimisha kutumia sifa tatu tu za Mungu kuelezea, hatutapata jibu (la kuridhisha). Lakini tukiruhusu sifa zaidi, ile kujua kuwa ana 'Hekima na Maarifa' vitatupa jibu.

Jambo hili tunapaswa kulitumia tunapoelezea mambo mengine ya ulimwengu huu kama vile kwa nini kuna magonjwa, maafa na kadhalika ilhali Mungu ni mwenye upendo, uwezo na ujuzi wote. Ni kwa sababu hekima, haki, Uamuzi binafsi na kadhalika vinahusika pia.
Mungu kweli yupo bali sio lazima kwamba imani sahihi ni ukristo. Imani ni imani tuu hata ukiwa na uamiNIsho wa imani kwa asilimia 99, bado itakuwa ni imani tuu mpaks iatakapo kuwa replaced na kweli. Ukweli upo, lakini kwa asili ya bin adam sisi tu wabishi au too ignorant kuujua (to realize the truth). We are looking in the long direction, listening from wrong voice, depending on darkness. The truth lies within ourself but yet we seek it outside and depend on others than ourself. No Bible, no koran, no rabai, no sheh, no priest can shed u the right that can deliver the truth except yourself, it is like no one gave you the translation of what color you looking at, whether it is red, blue, black, yellow or white it is you who recognize that the world around you gives you how to name or pronouce it the color, in english red swahili nyekundu, blue and bluu, white nyeupe, black nyeusi, green kijani and many names in other language including mother tong. Creation is the result of creator the God, we are part of it, cause everyday by acting of eating, breathing and sexing we are responsible of create our body and mind, like God mantaion its creation, we always maintain our bodies and our mind, by washing, treating from desease and laerning new things, God destroy the created things we also responsible for our destructions. Tumeumbwa kwa mfano wake, tukiweza kujua huo mfano wake, tuwaweza jua sisi ni nani na kwanini tulizaliwa, tunapaswa kufanya nini na madhumini ya maisha yetu kama ubinadamu ni nini? Wahe ga walisema kabra ya kumua na kumtafuta mungu binadamu alipaswa kwanza kujijua yeye ni nani na sababu za kuishi kwake.
 
Hili halipo pale wala hapa.

Hija ni Mungu yupo au hayupo.

Jua likishusha au lisiposhusha maji, tokeo lolote kati ya hayo, halitathibitisha Mungu yupo au hayupo.

Na wengine wanaweza kukuambia mvua inaponyesha ni jua limeshusha maji. Kwa sababu mvua haiwezekani kunyesha bika jua kusaidia kuyaoandisha maji ya chini yaende juu kwenye mawingu kwa evaporation.

Umesoma jinsi mvua inavyonyesha na kuelewa jua linaletaje mvua?
Thibtsha kuwa jua ndo linashusha maji..nakingne Ukumbuke kuwa Duniani una ukomo wakutenda jambo ndio maana kuna mengi umeyakuta na utayaacha bila kuyagusa si kwasababu hutaki kuyaguda bali huna huo uwezo. Ndio maana nimekwambia ikiwa yote unayojiibidsha ni juhud zako fanya kuliamuru jua lishushe mvua . Sio jeuri nyingiii Wakati Sisi tunaonaMungu Anafanya kazi hata sasa.
 
[QUOTE="0.5nic, post: 29032118,

Watu wengi wanapenda kuona Mungu anaadhibu wakosaji, halafu wanasahau kwamba wao wenyewe ni miongoni mwa hao wakosaji. Kwa hiyo, ijapokuwa ni kweli kwamba Mungu ana upendo wote, lakini pia ana huruma yote. Hivi anaweza kumwonea huruma yule anayetenda kosa kama vile anavyomwonea huruma yule anayetendewa. Kisha anataja siku ambayo mambo hayo yote yatakomeshwa, Siku ya Hukumu. Tufanye juhudi kujiandaa kwa ajili ya siku hiyo.

Kwa iyo Kama kuna siku ya hukumu ni kwa nini watu wanakufa aidha kwa nja, mafuriko majanga ya asili, vita nk
Kwa nn hao watu wasiishi ili kusubiria hukumu Yao
Mashariki ya Kati raia wanakufa, wakina mama na watoto ambao wengi wao hawawez kutetea uhai wao
Je mapenzi ya Mungu hayo??
Huyo Mungu atakaetoa hukumu kwenye siku ambayo haijulikani alafu anawaacha wanyonge wanakufa it's ridiculous[/QUOTE]

Wewe ni Mavumbi na Mavumbini Utarudi Na Roho Itamrudia Aliyeiumba...........Kufa kuteseka kula kulala njaa hayo tuyasababisha wenyewe. ..chukulia mfno ww unashika bunduki unampga mwenzio Alafu kiranga Anasema Mungu hana upendo kwasabu flan amempiga flan. Je! Kat ya Mungu na Aliempga mwenzie iwe kwa kumuua au kumuumiza nani ambaye hana upendo??
 
Thibtsha kuwa jua ndo linashusha maji..nakingne Ukumbuke kuwa Duniani una ukomo wakutenda jambo ndio maana kuna mengi umeyakuta na utayaacha bila kuyagusa si kwasababu hutaki kuyaguda bali huna huo uwezo. Ndio maana nimekwambia ikiwa yote unayojiibidsha ni juhud zako fanya kuliamuru jua lishushe mvua . Sio jeuri nyingiii Wakati Sisi tunaonaMungu Anafanya kazi hata sasa.

Hakuna mvua bila evaporation.

Hakuna evaporation inayoleta mvua naturally bila jua.

Unaelewa hilo?

Ukomo wa kutenda jambo hauthibitishi Mungu yupo. Unathibitishaje Mungu yupo?

Mimi kutokuwa na uwezo wa kugundua mengi ni ushahidi Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Angekuwepo, angenipa uwezo wa kugundua mengi. Mungu huyo si mchoyo hivyo.

Wewe una tatizo ka kuunganisha mambo ambayo hayana uhusiano.

Unaponiambia niliamrishe jua lishushe mvua huelewi kwamba mimi kushindwa au kuweza kuliamrisha jua hakuna uhusiano na uwepo wa Mungu.

Nikiweza au nikishindwa kuliamrisha jua, hilo halithibitishi Mungu yupo.

Ni kama vile mimi nikwambie wewe mimi ni Magufuli. Rais wa Tanzania.

Ukatae.

Halafu nakwambia, kama mimi si Magufuli, vunja bunge tuone.

Ukweli kwamba wewe huwezi kuvunja Bunge hauthibitishi kwamba mimi ni Magufuli.

Unaweza kuthibitisha Mungu mjuzi wa yite, mwenye uwezo wa yote na uoendo wote yupo?
 
Unaelewa sitaki chochote kuhusu imani, nataka ujuzi, na ukishaanza kuandika"unataka kutuaminisha" unaonekana hujanisoma wala kunielewa?

Mungu wako ni muovu au si muovy?

We unajua kuna liquid hydrogen na hydrogen si gesi tu? Kama hujajua kwamba kuna liquid hydrogen, una assume tu kwamba hydrogen ni gesi tu, kuna assumptions nyingine ngapi za mambo common knowledge tu unakosea?

Umeelewa kiini cha point yangu hapo?

Kwamba, kama Mungu muweza yote kuruhusu mabaya yaweze kuwepo duniani ni uovu, sifa nyingine yoyote utakayompa huyo Mungu haiondoi uovu huu bila kuleta conradiction?

Kuruhusu mabaya yaweze kuwepo wakati una uwezo wa kufanya yasiwepo ni kitu kizuri au kibaya?
Serikali inatoa elimu bure Safi sana hii kitu napenda ...
Kwanini wanaweka mitihani kwa ajili ya watu wafeli na wengine wafaulu Hali ya kuwa naamini inaweza kufanya mitihani isiwepo..
Mungu alishasema ametuwekea mitihani katika Dunia makusudi na ili ufaulu vyema ufanye kadha wa kadha very simple
Na ukitaka ufeli Fanya kadha wa kadha
Hii Hali tunaiita dual choice dual destiny.
 
Back
Top Bottom